Sijielewi nitakuwa na tatizo gani?

babjohn

Senior Member
Apr 23, 2015
112
16
Bila kupoteza muda wala maneno mengi nina tatizo linaloendelea kunisumbua kisaikolojia.Ni kwamba siku za karibuni nimeanza kuchukulia mapenzi kana kwamba ni kitu cha kawaida tofauti na zaman kipindi naanza mapenzi.Yani siku hizi mentality yangu nimekuwa sifikirii km mapenzi ni kitu cha kipekee sana au labda ni tendo la muhimu sana km weng mnavofikiria na badala yake naona kama ni kufanya uchafu flan unaochosha mwili.

Tatizo hili limeanza mwaka huu yaan kwa sasa nafanya tu ili kumridhisha mpenz wangu lakini binafsi akilini nimejizoesha kutochukulia km ni kitu cha kipekee sana kivile.Yani sio kwamba sina hisia hapana ninazo ila tatizo ni kwamba kwa mwanamke nachowaza juu yake ni ngono.Yani kifupi sioni mantiki ya kuwa na mapenzi ya kweli au kumpenda sana mwanamke.

Sina uhakika kama mmenielewa? Hata ivo nipo mbion kumtafuta mtaalam wa saikolojia ila nimeona ni vema ni ki share na nyie Umri wangu ni miaka 23.Natumia pombe mara chache sana. Kuhusu punyeto nilifanya kipind na miaka17 na nlijitahd nikaacha ndan ya mwaka 1 na pia sifanyi kazi ngumu sana za kunifanya nichoke ila ndo ivo sina hamu tu na mapenzi.

Mpaka sasa nimeshavunja uhusiano na ma demu kama wanne hivi bila sababu za msingi.naomba pia ikumbukwe kuwa nimewahi kuumizwa katika mapenzi(kupigwa kibuti) mara moja tu na ilikuwa zamani kipindi na balehe kwahio sioni kama ni
sababu.
 
babjohn

Pole sana mkuu... Kwa umri wako kukosa hamu ya mapenzi ni hatari sana.... Ikumbukwe hata uyajue mapenzi kwa upana na urefu wake ukishapata division five kwenye hatua ya ngono basi hayo mahusiano yanakuwa kwenye hatari kubwa sana....

Jitahidi kufanya mazoezi... Epuka kula vyakula vyenye mafuta mengi na jitahidi sana kufanya hayo mapenzi mara kwa mara.. (the more u practise the more you become conscious)
 
Last edited by a moderator:
Yaan sio kwmb sina hisia hapana ninazo ila tatizo ni kwamba kwa mwanamke nachowaza juu yake ni ngono
Yan kifup sion mantik ya kuwa na mapenz ya kwel
 
ndio wewe ambaye hutaki kuoa ?
tofauti yenu ni nini ??

duu umenibamba huku!! huyu jamaa kwa nilivomuelewa hahisi kupata msisimko akifanya ngono, kwaio tofauti yake na mimi ni kubwa. mimi napata msisimko kama kawaida
 
Back
Top Bottom