Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
- Thread starter
-
- #41
ukisoma haya maoni yanayotolewa na watanzania ... ndo utajua kweli wa tanzania wengi bado sana kujikwamua kiakili... akili zao hazina tofauti na za mbuzi.... tunasafari ndefu......... mind civilization almost zero..... nchi ya laana hii sijui
huna uwezo wa great thinkers,wewe ni mtu wa kupotea tu!user name yako inajieleza!Ilete tujue kuwa kweli wewe ni Great thinker na sio mwananchi wa kawaida kama mie
hiyo ndio story kwa mwananchi wa kawaida kama wewe.
Kwa sisi great thinkers tuna taarifa zaidi ya hiyo.
Mkuu usiwatutishe wapiganaji.Wenzio hatuogopi kwa sababu kwenda mbele ( kuendelea na mapambano) au kurudi nyuma (kuacha mapambano) hakun tofauti. Tukikaa kimya tutawahi kufa kutokana na matatizo ya huduma mbovu za serikali ikiwemo kulishwa madawa yaliyopitwa na wakati. Hatutishiki tena.
tunachohitaj kusikia kutoka kwake anakifaham ila hatakisema yaleyale ya mwakyembe, hawa wajomba zangu wananiangusha sana
Kwetu network inasumbua xana tupeni habari mpya.
Jamani mwenye access na Mlimani TV amwangalie Dr Ulimboka sasa hivi anazungumza
huna uwezo wa great thinkers,wewe ni mtu wa kupotea tu!user name yako inajieleza!
Dr ulimboka anajivunia kupandisha mishahara ya sekta ya afya kwa asilimia 100,pia amepandisha call allowance kwa asilimia mia moja na hamsini.
Amepandisha postmortem allowance kutoka 10000 mpaka 100000.
Amesababisha baraza la mawaziri kuvunjwa.amemuondoa mganga mkuu wa serikali.
Dr ulimboka ameshinda mauti pale mabwepande.
Wewe kikaragosi unayemnanga umefanya nini hapa tanzania?
Namuombea afya njema ili aendeleze mapambano katika sekta ya afya.
jaribuni kama mtaweza!unajua waliomteka ulimboka wako wapi kwa sasa?
Usifanye mchezo na koleo wewe! Naskia jamaa sasa hivi akiona koleo tu anakimbia! Hata nyumbani anako ishi koleo ameipiga marufuku kuonekana! Ikitokea ameiona bahati mbaya halali nyumbani..
wenzake ndio walijitenga nae, yy anauguza majeraha wenzake wakarudi kazini, hata ningekuwa mm ningeachana na huo upuuzi, walimsaliti yy kwanza.Ashajitenga na wenzake Daaaa kweli Fedha Mwanaharamu........
Usifanye mchezo na koleo wewe! Naskia jamaa sasa hivi akiona koleo tu anakimbia! Hata nyumbani anako ishi koleo ameipiga marufuku kuonekana! Ikitokea ameiona bahati mbaya halali nyumbani..
Bangi unazovuta zinakupeleka pahala pabayaUsifanye mchezo na koleo wewe! Naskia jamaa sasa hivi akiona koleo tu anakimbia! Hata nyumbani anako ishi koleo ameipiga marufuku kuonekana! Ikitokea ameiona bahati mbaya halali nyumbani..