Sijawahi pata Meseji JF

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,141
Jamani, tangu nijiunge na JF miaka miwili iliyopita sijawahi pata Private Message. Kwa heshima na taadhima naomba ajitokeze wa kini-PM ili nione, alert yake inafananaje..!!!
 
Jamani, tangu nijiunge na JF miaka miwili iliyopita sijawahi pata Private Message. Kwa heshima na taadhima naomba ajitokeze wa kini-PM ili nione, alert yake inafananaje..!!!

leroy mie nimekutumia......uisome afu uijibu ili nijue kama mwanafunzi umeelewa.
 
Last edited by a moderator:
Ndo mnavyokera sasa,unaomba utumiwe halafu haujibu! Sasa hiyo namba ni ya m-pesa utume zaidi ya laki!
 
nenda jukwaa la matangazo, weka tangazo la uwongo na kweli pm zitakuja za kutosha...
 
Back
Top Bottom