Sijawahi kuwadhalilisha Wanawake; isipokuwa wapumbavu hujishtukia

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,907
Habari Wakuu!

Kuna baadhi ya watu wameingiwa na uchungu Kwa baadhi ya maandiko ninayoandika kuhusu Wanawake wetu.
Wapo wamenipigia siku kuomba ufafanuzi, wapo wameni-dm na Wale wenye uvumilivu mdogo waliishia kutukana tukana Kama wenyewe walivyo Kama matusi Yao.

Taikon hajawahi kumchukia yeyote.
Taikon hajawahi kumdhalilisha yeyote achilia mbali hao wanaosema nawadhalilisha wanawake.
Taikon anapenda watu wote na Hana ubaguzi wa KIPUUZI. Ingawaje hapendi upumbavu!

Nadiriki kusema, wapumbavu wengi lazima wasinielewe Kwa sababu wao hufikiri kipumbavu pumbavu.

Mimi nimelelewa katika misingi ya Dini, sheria na taratibu. Nimefundishwa kuheshimu na kutenda haki.

Ndio maana mara nyingi Makala zangu ninaandikaga kuwa kama mtu ni dhaifu asizisome.
Tena ni Bora mtu aniweke kwenye Ignore-list ili azione ninachokiandika.

Wapumbavu wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Hupenda kudanganywa.

Hivi Mimi kusema;
Mwanamke kidesturi na kidini hapaswi kuongoza Ibada ndio nimemnyanyasa?

Hivi Mimi kusema, mwanamke yupo connected moja Kwa moja na nguvu za Giza ndio nimewadhalilisha?
Au mnataka nitoe mifano;
Unafikiri nyoka pale Eden alikuwa mjinga kumfuata Hawa?
Mnafikiri Kwa nini wanaoanguka na mapepo wengi na wanawake kuliko wanaume?
Mnafikiri Kwa nini Biblia inasema msimuache Mwanamke mchawi akaishi?
Mnafikiri Kwa nini wanawake wengi ndio hujiingiza kwenye Uchawi huku wanaume wakiwa waganga wa kienyeji?
Unafikiri ni Kwa nini mitume wengi walichaguliwa wanaume na sio wanawake?
Mnafikiri Kwa nini idadi kubwa ya wanawake ndio wateja wanapenda Kwa waganga WA kienyeji kufanya ulozi na kuwaweka wanaume zao kiganjani?
Mnadhani ni bahati tuu pasipo sababu za msingi.

Narudia sisemi kumtukana Mtu. Ila najaribu kusema ukweli

Mwanamke aliyefunzwa akafunzika kidini ni faida kubwa ndani ya jamii. Anajua mipaka yake na anajua nini nasema.
Lakini ambao wanaelimu ndogo wataona Kama nawadhalilisha.

Siwezi watukana na kuwadhalilisha Wanawake wakati wapo Mama zangu, Bibi, mashangazi, Dada na wakwe zangu,
Wapo mashemeji wakike, mke wangu, na hata marafiki zangu wakike wenye vyeo vikubwa tuu serikalini wanaosoma nyaraka zangu.

Lakini wanawake hao hawanizuii kusema ukweli wenye manufaa katika jamii.

Kwa bahati wanawake wengi wanaosomea nyaraka zangu wanaakili za kuchambua nilichokiandika na kukielewa, na Wale ambao wanapata ukinzani katika kuelewa wananipigiaga simu niwafafanulie.

Yaani mkae uchi na kufanya vitu vya kipuuzi alafu mtu akiwasema na kuwaonya ndio kudhalilishwa, pumbavu kabisa.

Yaani mtake kujigeuza watawala ndani ya familia zenu na kuwabagaza wanaume alafu Taikon akisema mseme mnadhalilishwa, shenzi. Tena Kama ningekuwa karibu nafikiri mngelalama Kwa makofi hata mawili.

Yaani tuone mnajivunjia heshima alafu hamtaki tuwaweke kwenye mstari. Hamjui hivyo ndio tunawajali?

Nataka kusema, wanawake wenye hekima, wanawake wema na wenye roho wa Mungu wataendelea kupata mafundisho haya ambayo yanagusa mifupa na kuponya roho zao. Wataendelea kufurahia maandiko yangu.

Ninyi mnaoona nawadhalilisha endeleeni kusononeka, Kwa maana Mpumbavu hata umpe maonyo kwake ni Kama kumtukana na kumdhalilisha.

Imeendikwa Mpumbavu hata umtangwe kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.

Hata hivyo, sipo hapa kujiona Mimi ni mkamilifu au yeyote Yule isipokuwa Yule aliyetuumba.

Hata Sisi wanaume zipo Makala nyingi nimeziandika zinazotuponda na kutuonya.

Barikiweni.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Kibaya zaidi ......aliye lalamika zaidi anajiita meanaume .....sasa sielewi Kama ni kweli .....au alifungua tu account nyingine....

......kiukweli uko sahihi mkuu.....lazima tuambiane ukweli
 
Ukitaka kujua kuwa mwanamke ni mpumbavu, wewe mpe milioni kama zawadi na mwambie kanunue chochote unachotaka na atakuja mwingine atampa zawadi ya chupi.

Yeye atamthamini yule aliyempa zawadi ya chupi kuliko yule aliyempa milioni.

Ndio ujue hawa viumbe ni wapumbavu tu.
 
Kupitia mada yako uliyofanya uje na huu uzi tena ni wazi kabisa wewe ndie Mpumbavu na Wapumbavu wenzio wanakusapoti sababu siku zote Mpumbavu hupenda kuona Upumbavu ukiendelea, lol

Ubakaji, Ulawiti, Ujambazi, Uuaji, Rushwa, Udhalilishaji, Unyongeshaji, n.k hayo yote ni Matendo ya Mungu ambayo anamtuma Mwanaume ayafanye kwenye jamii yake au sio??

Upendo, Huruma, Heshima, Uvumilivu, Utii, Unyenyekevu, n.k hayo ni matendo ya Shetani ambayo anamtuma Mwanamke akayafanye??

Bro, kama ukitendwa na Mwanamke/Wanawake huna haja ya kukasirikia Wanawake wote Duniani, ni vile wamekuona Mpumbavu wakaamua kukatisha mahusiano, (I'm sorry for that, )

Na ukiona Wanawake wanakuumiza sana, date Wanaume wenzio, no one will judge you as long as utakua na amani na kuacha makasiriko kwa Wanawake zetu.

Chubwi in the making
 
Duuuh!!

Umevurugwa kweli!

Hoja yako ni ipi hapo?
 
Siku zote ukweli unauma. Wewe mwaga tu nyongo ili wabadilike ikibidi. Ni bora kuanza mwaka 2022 na wanawake wachache bora na wanao jitambua! kuliko wengi wapumbavu wengi na wasio jiamini.
 
Upo sahihi, mpaka tukaambiwa tuishi nao kwa akili sasa ni Jambo gani utafanyaje bila kutumia akili?

Ndo ujue Sasa hawa watu ni pasua kichwa...!!
 
Habari Wakuu!

Kuna baadhi ya watu wameingiwa na uchungu Kwa baadhi ya maandiko ninayoandika kuhusu Wanawake wetu.
Wapo wamenipigia siku kuomba ufafanuzi, wapo wameni-dm na Wale wenye uvumilivu mdogo waliishia kutukana tukana Kama wenyewe walivyo Kama matusi Yao.

Taikon hajawahi kumchukia yeyote.
Taikon hajawahi kumdhalilisha yeyote achilia mbali hao wanaosema nawadhalilisha wanawake.
Taikon anapenda watu wote na Hana ubaguzi wa KIPUUZI. Ingawaje hapendi upumbavu!

Nadiriki kusema, wapumbavu wengi lazima wasinielewe Kwa sababu wao hufikiri kipumbavu pumbavu.

Mimi nimelelewa katika misingi ya Dini, sheria na taratibu. Nimefundishwa kuheshimu na kutenda haki.

Ndio maana mara nyingi Makala zangu ninaandikaga kuwa kama mtu ni dhaifu asizisome.
Tena ni Bora mtu aniweke kwenye Ignore-list ili azione ninachokiandika.

Wapumbavu wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Hupenda kudanganywa.

Hivi Mimi kusema;
Mwanamke kidesturi na kidini hapaswi kuongoza Ibada ndio nimemnyanyasa?

Hivi Mimi kusema, mwanamke yupo connected moja Kwa moja na nguvu za Giza ndio nimewadhalilisha?
Au mnataka nitoe mifano;
Unafikiri nyoka pale Eden alikuwa mjinga kumfuata Hawa?
Mnafikiri Kwa nini wanaoanguka na mapepo wengi na wanawake kuliko wanaume?
Mnafikiri Kwa nini Biblia inasema msimuache Mwanamke mchawi akaishi?
Mnafikiri Kwa nini wanawake wengi ndio hujiingiza kwenye Uchawi huku wanaume wakiwa waganga wa kienyeji?
Unafikiri ni Kwa nini mitume wengi walichaguliwa wanaume na sio wanawake?
Mnafikiri Kwa nini idadi kubwa ya wanawake ndio wateja wanapenda Kwa waganga WA kienyeji kufanya ulozi na kuwaweka wanaume zao kiganjani?
Mnadhani ni bahati tuu pasipo sababu za msingi.

Narudia sisemi kumtukana Mtu. Ila najaribu kusema ukweli

Mwanamke aliyefunzwa akafunzika kidini ni faida kubwa ndani ya jamii. Anajua mipaka yake na anajua nini nasema.
Lakini ambao wanaelimu ndogo wataona Kama nawadhalilisha.

Siwezi watukana na kuwadhalilisha Wanawake wakati wapo Mama zangu, Bibi, mashangazi, Dada na wakwe zangu,
Wapo mashemeji wakike, mke wangu, na hata marafiki zangu wakike wenye vyeo vikubwa tuu serikalini wanaosoma nyaraka zangu.

Lakini wanawake hao hawanizuii kusema ukweli wenye manufaa katika jamii.

Kwa bahati wanawake wengi wanaosomea nyaraka zangu wanaakili za kuchambua nilichokiandika na kukielewa, na Wale ambao wanapata ukinzani katika kuelewa wananipigiaga simu niwafafanulie.

Yaani mkae uchi na kufanya vitu vya kipuuzi alafu mtu akiwasema na kuwaonya ndio kudhalilishwa, pumbavu kabisa.

Yaani mtake kujigeuza watawala ndani ya familia zenu na kuwabagaza wanaume alafu Taikon akisema mseme mnadhalilishwa, shenzi. Tena Kama ningekuwa karibu nafikiri mngelalama Kwa makofi hata mawili.

Yaani tuone mnajivunjia heshima alafu hamtaki tuwaweke kwenye mstari. Hamjui hivyo ndio tunawajali?

Nataka kusema, wanawake wenye hekima, wanawake wema na wenye roho wa Mungu wataendelea kupata mafundisho haya ambayo yanagusa mifupa na kuponya roho zao. Wataendelea kufurahia maandiko yangu.

Ninyi mnaoona nawadhalilisha endeleeni kusononeka, Kwa maana Mpumbavu hata umpe maonyo kwake ni Kama kumtukana na kumdhalilisha.

Imeendikwa Mpumbavu hata umtangwe kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.

Hata hivyo, sipo hapa kujiona Mimi ni mkamilifu au yeyote Yule isipokuwa Yule aliyetuumba.

Hata Sisi wanaume zipo Makala nyingi nimeziandika zinazotuponda na kutuonya.

Barikiweni.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Nukuu:"Mimi nimelelewa katika misingi ya Dini, sheria na taratibu. Nimefundishwa kuheshimu na kutenda haki". Halafu unaita wenzako wapumbavu na dhaifu.

Wewe ni mjinga, mpuuzi,mshamba,mjuaji ,mpenda sifa za kijinga!!! Sijui nani alikupa cheo chako, nafikiri ni wapumbavu wenzako.

Eti nguli wa fasihi?? Kwa fasihi ipi??? Hii iliyojaa dharau, kejeli, dharau, chuki,husuda kwa mama zetu ?? Eti watu dhaifu hawawezi kusoma makala zangu!!!! Je,Makala za kina Shaban Robert (Mungu amrehemu) zitakuaje??..

Eti mwanamke anauhusiano wa moja kwa moja na Shetani ( Mama yako akiwepo) ,eti wanaopata mapepo wengi ni wanawake( mama yako akiwepo), eti wanaoenda kwa waganga wengi ni wanawake (mama yako akiwepo), eti waganga wengi ni wanaume( baba yako akiwepo).Huna uthibitisho wa kisayansi (Utafiti) (ukiambiwa uthibitishe) zaidi ya kuendeshwa na dhana, hisia pamoja na mhemko!!!!

Ushauri
: Punguza ujuaji, dharau, kejeli, pamoja na sifa za kijinga na kishamba kama unataka kufika mbali kifasihi. Penda kujifunza na kujielimisha kila wakati. Elimu ni bahari. Unaweza ukajihisi unajua kumbe unajua ujinga.
 
Nukuu: "wewe ni mjinga, mpuuzi,mshamba,mjuaji ,mpenda sifa za kijinga!!! Sijui nani alikupa cheo chako, nafikiri ni wapumbavu wenzako"

Mzee mbona naona wewe ndio una sifa za hayo maneno uliyomuambia Taikon? Umewatusi wote wanaomuita kuwa ni Taikon, I think wewe ndio mshamba na unapenda exposure za kijinga. Hujatumia lugha ya kisomi na yenye staha.

Masuala ya wao kwenda kwa waganga wa kienyeji na tafiti za kisayansi wapi na wapi? Ulitumbuliwa? Ulikuwa vyeti feki?(sorry ni maswali tu).

Nafikiri utakuwa baba mpumbavu(kama kweli una watoto) na unalea wanao kimagharibi. Huo ni mtazamo wa Taikon, wewe kama humuelewi na una kichwa dhaifu just ignore him, tuache wapuuzi wenzake kama ulivyosema tumfuatilie. Hukuitwa kwenye thread hii, ni shobo zako na ushamba wako ndio ulikuleta.

Huenda Taikon hakufahamu wewe, ila wewe unamfuatilia na unamfahamu hapa JF, huoni kakuzidi mpaka hapo? Nimeandika haya kwa sababu 'mpuuzi' anatakiwa kujibiwa kipuuzi. Ungeandika kwa hekima ungejibiwa kwa hekima.

Note; nimejibu kama mmoja ya watu wanaomuita Mr. Robert Taikon wa fasihi, hivyo ni mhanga wa tusi lako la 'wapuuzi'. Kama binadamu najibu mashambulizi kwa kuonesha mimi si mpuuzi, the man has got great talent!

Siku njema! Nilisahau kukuuliza kitu, samahani hivi wewe ni mmoja wa wale watu wenye uelewa dhaifu ambao Taikon huwa anawatahadharisha wasisome maandiko yake?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Ndugu, jitahidi kuwa na adabu. Mtu mwenyewe mweupe huewezi hata kujificha halafu unaleta ujuaji. Angalia usikutane na mdomo wa chatu.Narudia tena wewe ni mweupe ,huwezi na hautaweza kujificha.
 
Habari Wakuu!

Kuna baadhi ya watu wameingiwa na uchungu Kwa baadhi ya maandiko ninayoandika kuhusu Wanawake wetu.
Wapo wamenipigia siku kuomba ufafanuzi, wapo wameni-dm na Wale wenye uvumilivu mdogo waliishia kutukana tukana Kama wenyewe walivyo Kama matusi Yao.

Taikon hajawahi kumchukia yeyote.
Taikon hajawahi kumdhalilisha yeyote achilia mbali hao wanaosema nawadhalilisha wanawake.
Taikon anapenda watu wote na Hana ubaguzi wa KIPUUZI. Ingawaje hapendi upumbavu!

Nadiriki kusema, wapumbavu wengi lazima wasinielewe Kwa sababu wao hufikiri kipumbavu pumbavu.

Mimi nimelelewa katika misingi ya Dini, sheria na taratibu. Nimefundishwa kuheshimu na kutenda haki.

Ndio maana mara nyingi Makala zangu ninaandikaga kuwa kama mtu ni dhaifu asizisome.
Tena ni Bora mtu aniweke kwenye Ignore-list ili azione ninachokiandika.

Wapumbavu wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Hupenda kudanganywa.

Hivi Mimi kusema;
Mwanamke kidesturi na kidini hapaswi kuongoza Ibada ndio nimemnyanyasa?

Hivi Mimi kusema, mwanamke yupo connected moja Kwa moja na nguvu za Giza ndio nimewadhalilisha?
Au mnataka nitoe mifano;
Unafikiri nyoka pale Eden alikuwa mjinga kumfuata Hawa?
Mnafikiri Kwa nini wanaoanguka na mapepo wengi na wanawake kuliko wanaume?
Mnafikiri Kwa nini Biblia inasema msimuache Mwanamke mchawi akaishi?
Mnafikiri Kwa nini wanawake wengi ndio hujiingiza kwenye Uchawi huku wanaume wakiwa waganga wa kienyeji?
Unafikiri ni Kwa nini mitume wengi walichaguliwa wanaume na sio wanawake?
Mnafikiri Kwa nini idadi kubwa ya wanawake ndio wateja wanapenda Kwa waganga WA kienyeji kufanya ulozi na kuwaweka wanaume zao kiganjani?
Mnadhani ni bahati tuu pasipo sababu za msingi.

Narudia sisemi kumtukana Mtu. Ila najaribu kusema ukweli

Mwanamke aliyefunzwa akafunzika kidini ni faida kubwa ndani ya jamii. Anajua mipaka yake na anajua nini nasema.
Lakini ambao wanaelimu ndogo wataona Kama nawadhalilisha.

Siwezi watukana na kuwadhalilisha Wanawake wakati wapo Mama zangu, Bibi, mashangazi, Dada na wakwe zangu,
Wapo mashemeji wakike, mke wangu, na hata marafiki zangu wakike wenye vyeo vikubwa tuu serikalini wanaosoma nyaraka zangu.

Lakini wanawake hao hawanizuii kusema ukweli wenye manufaa katika jamii.

Kwa bahati wanawake wengi wanaosomea nyaraka zangu wanaakili za kuchambua nilichokiandika na kukielewa, na Wale ambao wanapata ukinzani katika kuelewa wananipigiaga simu niwafafanulie.

Yaani mkae uchi na kufanya vitu vya kipuuzi alafu mtu akiwasema na kuwaonya ndio kudhalilishwa, pumbavu kabisa.

Yaani mtake kujigeuza watawala ndani ya familia zenu na kuwabagaza wanaume alafu Taikon akisema mseme mnadhalilishwa, shenzi. Tena Kama ningekuwa karibu nafikiri mngelalama Kwa makofi hata mawili.

Yaani tuone mnajivunjia heshima alafu hamtaki tuwaweke kwenye mstari. Hamjui hivyo ndio tunawajali?

Nataka kusema, wanawake wenye hekima, wanawake wema na wenye roho wa Mungu wataendelea kupata mafundisho haya ambayo yanagusa mifupa na kuponya roho zao. Wataendelea kufurahia maandiko yangu.

Ninyi mnaoona nawadhalilisha endeleeni kusononeka, Kwa maana Mpumbavu hata umpe maonyo kwake ni Kama kumtukana na kumdhalilisha.

Imeendikwa Mpumbavu hata umtangwe kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.

Hata hivyo, sipo hapa kujiona Mimi ni mkamilifu au yeyote Yule isipokuwa Yule aliyetuumba.

Hata Sisi wanaume zipo Makala nyingi nimeziandika zinazotuponda na kutuonya.

Barikiweni.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mbona siku hizi huweki namba za simu?
 
Duh! Naona malumbano yamekuwa makali Sana. Ingekuwa tupo uso Kwa uso watu wangezichapa Sana Kwa sababu ya mada hii. Tuwe wavumilivu na wenye kiasi,lakini jamii yetu Kwa sasa inahitaji watu wanaosema ukweli japokuwa ukweli unauma. Suala linakuja,je huo ukweli unasemwa kwa lugha ya namna gani? Upole?, Ukali?,ustaarabu,tafsida? Nk. Hilo tumuachie msemaji,tusimchagulie maneno yakuzungumza.
 
Ndugu, jitahidi kuwa na adabu. Mtu mwenyewe mweupe huewezi hata kujificha halafu unaleta ujuaji. Angalia usikutane na mdomo wa chatu.Narudia tena wewe ni mweupe ,huwezi na hautaweza kujificha.
Ni kweli, sasa kwa nini nijifiche? Wewe umemtusi mwenzio na hukutumia hekima kuwasilisha hoja yako. Ukiua kwa upangaaa...

Back
Top Bottom