Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,662
- 52,498
Habari Wakuu!
Kuna baadhi ya watu wameingiwa na uchungu Kwa baadhi ya maandiko ninayoandika kuhusu Wanawake wetu.
Wapo wamenipigia siku kuomba ufafanuzi, wapo wameni-dm na Wale wenye uvumilivu mdogo waliishia kutukana tukana Kama wenyewe walivyo Kama matusi Yao.
Taikon hajawahi kumchukia yeyote.
Taikon hajawahi kumdhalilisha yeyote achilia mbali hao wanaosema nawadhalilisha wanawake.
Taikon anapenda watu wote na Hana ubaguzi wa KIPUUZI. Ingawaje hapendi upumbavu!
Nadiriki kusema, wapumbavu wengi lazima wasinielewe Kwa sababu wao hufikiri kipumbavu pumbavu.
Mimi nimelelewa katika misingi ya Dini, sheria na taratibu. Nimefundishwa kuheshimu na kutenda haki.
Ndio maana mara nyingi Makala zangu ninaandikaga kuwa kama mtu ni dhaifu asizisome.
Tena ni Bora mtu aniweke kwenye Ignore-list ili azione ninachokiandika.
Wapumbavu wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Hupenda kudanganywa.
Hivi Mimi kusema;
Mwanamke kidesturi na kidini hapaswi kuongoza Ibada ndio nimemnyanyasa?
Hivi Mimi kusema, mwanamke yupo connected moja Kwa moja na nguvu za Giza ndio nimewadhalilisha?
Au mnataka nitoe mifano;
Unafikiri nyoka pale Eden alikuwa mjinga kumfuata Hawa?
Mnafikiri Kwa nini wanaoanguka na mapepo wengi na wanawake kuliko wanaume?
Mnafikiri Kwa nini Biblia inasema msimuache Mwanamke mchawi akaishi?
Mnafikiri Kwa nini wanawake wengi ndio hujiingiza kwenye Uchawi huku wanaume wakiwa waganga wa kienyeji?
Unafikiri ni Kwa nini mitume wengi walichaguliwa wanaume na sio wanawake?
Mnafikiri Kwa nini idadi kubwa ya wanawake ndio wateja wanapenda Kwa waganga WA kienyeji kufanya ulozi na kuwaweka wanaume zao kiganjani?
Mnadhani ni bahati tuu pasipo sababu za msingi.
Narudia sisemi kumtukana Mtu. Ila najaribu kusema ukweli
Mwanamke aliyefunzwa akafunzika kidini ni faida kubwa ndani ya jamii. Anajua mipaka yake na anajua nini nasema.
Lakini ambao wanaelimu ndogo wataona Kama nawadhalilisha.
Siwezi watukana na kuwadhalilisha Wanawake wakati wapo Mama zangu, Bibi, mashangazi, Dada na wakwe zangu,
Wapo mashemeji wakike, mke wangu, na hata marafiki zangu wakike wenye vyeo vikubwa tuu serikalini wanaosoma nyaraka zangu.
Lakini wanawake hao hawanizuii kusema ukweli wenye manufaa katika jamii.
Kwa bahati wanawake wengi wanaosomea nyaraka zangu wanaakili za kuchambua nilichokiandika na kukielewa, na Wale ambao wanapata ukinzani katika kuelewa wananipigiaga simu niwafafanulie.
Yaani mkae uchi na kufanya vitu vya kipuuzi alafu mtu akiwasema na kuwaonya ndio kudhalilishwa, pumbavu kabisa.
Yaani mtake kujigeuza watawala ndani ya familia zenu na kuwabagaza wanaume alafu Taikon akisema mseme mnadhalilishwa, shenzi. Tena Kama ningekuwa karibu nafikiri mngelalama Kwa makofi hata mawili.
Yaani tuone mnajivunjia heshima alafu hamtaki tuwaweke kwenye mstari. Hamjui hivyo ndio tunawajali?
Nataka kusema, wanawake wenye hekima, wanawake wema na wenye roho wa Mungu wataendelea kupata mafundisho haya ambayo yanagusa mifupa na kuponya roho zao. Wataendelea kufurahia maandiko yangu.
Ninyi mnaoona nawadhalilisha endeleeni kusononeka, Kwa maana Mpumbavu hata umpe maonyo kwake ni Kama kumtukana na kumdhalilisha.
Imeendikwa Mpumbavu hata umtangwe kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.
Hata hivyo, sipo hapa kujiona Mimi ni mkamilifu au yeyote Yule isipokuwa Yule aliyetuumba.
Hata Sisi wanaume zipo Makala nyingi nimeziandika zinazotuponda na kutuonya.
Barikiweni.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam