Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 59,202
- 69,728
Wabhonye Wewe!!Stori tu za kusadikika.
Wabhonye Wewe!!Stori tu za kusadikika.
BaelezeeNimewahi shuhudia mmoja ..kazikwa chang'ombe.
kwenye matangazo ya vifo wanatajaga urefu wa marehemu?Wakuu kwema?
Kama nitakuwa nakosea,naomba mnisamehe in advance.
Kiukwel sijawahi kuhudhuria au kuskia msiba wa mbilikimo.
Hivi huwa wanakufa,na kama wanakufa huwa wanazikwa kawaida kama binadamu wengine au?
Wabhonye Wewe!!
urimo?Wabhonye Wewe!!
Ni timing wakikuwahi wanakula na wao ukiwa wahi una wala ipo hivyoUongo,,hao mbilikimo ndio hula watu...ninaishi na Jamaa mkongo ambae kufika kwao lazima upite kijiji cha hawa mbilikimo huko Congo wanaitwa wambote achana nao hawa Jamaa kwa ukorofi na uchawi...unaambiwa wanatekaga treni wanafanya fujo.
Ndimo Jamaaurimo?
Mkuu Bujibuji si muongo,hao walikuwa wanaliwa na waasi kwa imani potofu kuwa wataweza kusurvive porini.Uongo,,hao mbilikimo ndio hula watu...ninaishi na Jamaa mkongo ambae kufika kwao lazima upite kijiji cha hawa mbilikimo huko Congo wanaitwa wambote achana nao hawa Jamaa kwa ukorofi na uchawi...unaambiwa wanatekaga treni wanafanya fujo.
Sio Zakayo!?Wanakufa kama kawaida....uliza watu walioishi kasulu miaka ya 2000 huko kuna mbilikimo aliyeikuwa akiitwa TOMA alikuwa mtoza ushuru au mtangaza matangazo ya serikali na zile spika za kuongelea mdomoni....Jamaa alifariki kwa ugonjwa kama binadamu Wa kawaida na akazikwa,hao ni binadamu kama sisi tu.