The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?
Ni wasiwasi wangu kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa kutoajiri wasomi sana ili kuwapa nafuu watawala kuwaongoza kwa sababu ni rahisi kumuongoza mtu unaemzidi elimu kuliko anaekuzidi. Au imetokea tu?