Sijawahi kusikia askari wa aina yoyote aliefikia ngazi ya Uprofesa

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,494
2,040
Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?

Ni wasiwasi wangu kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa kutoajiri wasomi sana ili kuwapa nafuu watawala kuwaongoza kwa sababu ni rahisi kumuongoza mtu unaemzidi elimu kuliko anaekuzidi. Au imetokea tu?
 
Hajui vitu huyu tena anaishi hapo tankibovu karibu na full dose bar zamani kona bar ili umuone physically
 
Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?

Ni wasiwasi wangu kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa kutoajiri wasomi sana ili kuwapa nafuu watawala kuwaongoza kwa sababu ni rahisi kumuongoza mtu unaemzidi elimu kuliko anaekuzidi. Au imetokea tu?

Hiki sio K.I.L.A.Z.A jamani elimu ngazi ya prof. ndio nini?
 
Jwtz wapi wawomi wengi na wazuri sana.

Ila posti yako ina kaukweli huu ya askari wetu. Japo sijafanya tafiti ila naomba kutoa mawazo yangu.

Nafikiri Polisi hawaitaji wasomi wa kiwango cha PHD na kuendelea kwa sababu
1: Polisi yetu haipo huru na inaingiliwa sana na wanasiasa MF: unampomteuwa kada wa Chama (Makonda) kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi mkoa wa Dar hapo utaona mkanganyiko unapoanzia. Kama jeshi la Polisi litakuwa na wasomi wanaoeshimu taaluma zao sidhani kama hili jambo wangelikubali.

Huo ni mtazamo wangu na nategemea kujifunza zaidi kupitia huu uzi
 
Haihitaji Phd kupiga mizinga na huo ndo ukweli kwa jeshi lolote duniani.

Uliza kama US Marines wanachanja mbuga huko Syria na Afghanistan!
 
Jamani! Jeshini tunasomea uluteni, canari, umeja, na ugenerali, na ufilid marshew hakuna kuitana profesa, utasubiri sana kumuona prof.jeshini
 
Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?

Ni wasiwasi wangu kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa kutoajiri wasomi sana ili kuwapa nafuu watawala kuwaongoza kwa sababu ni rahisi kumuongoza mtu unaemzidi elimu kuliko anaekuzidi. Au imetokea tu?
utajuaje wakati wewe upo huko uraiani watu wameenda kidato
 
Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?

Ni wasiwasi wangu kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa kutoajiri wasomi sana ili kuwapa nafuu watawala kuwaongoza kwa sababu ni rahisi kumuongoza mtu unaemzidi elimu kuliko anaekuzidi. Au imetokea tu?
Kwa hiyo unaona uprofesa ndio dili...mbona husemi hujawahi kuskia profesa wa aina yoyote aliefikia ngazi ya umilionea..
 
Hiki sio K.I.L.A.Z.A jamani elimu ngazi ya prof. ndio nini?
Mie na ka elimu kangu ka msingi, ninavyojua zamani Prof. ilikuwa anaweza kuwa ana masters lakini akaandika pepa nyingi sana na zikawa zimepitishwa ndio anakuwa prof. siku hizi nasikia eti kuwa prof. lazima uwe na Phd na pia uandike sana, sijui lakini mwe mwe mie na darasa langu la saba ya wakubwa siyajui
 
Jwtz wapi wawomi wengi na wazuri sana.

Ila posti yako ina kaukweli huu ya askari wetu. Japo sijafanya tafiti ila naomba kutoa mawazo yangu.

Nafikiri Polisi hawaitaji wasomi wa kiwango cha PHD na kuendelea kwa sababu
1: Polisi yetu haipo huru na inaingiliwa sana na wanasiasa MF: unampomteuwa kada wa Chama (Makonda) kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi mkoa wa Dar hapo utaona mkanganyiko unapoanzia. Kama jeshi la Polisi litakuwa na wasomi wanaoeshimu taaluma zao sidhani kama hili jambo wangelikubali.

Huo ni mtazamo wangu na nategemea kujifunza zaidi kupitia huu uzi
Huitaji nguvu peke yake ili kusimamia ulinzi na usalama pia kisomo kinahusika sana
 
kuna ka ukweli hivi unadhani msomi au mtu mwenye a ... k...i...l....i zake t....i...m....a....m.....u atapenda kukimbilia sehemu zenye hatari aache kulinda uhai wake kwanza, halafu hawa wenzetu awafundishwi ku...ta...fa...ka...ri ila ku...t..i...i tu
 
Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?

Kiitifaki wako maprofesa wengi tu ambao ni maaaskari waliobobea ila kiitifaki hawaruhusiwi kujitambulisha kuwa ni maaskari
 
Mie na ka elimu kangu ka msingi, ninavyojua zamani Prof. ilikuwa anaweza kuwa ana masters lakini akaandika pepa nyingi sana na zikawa zimepitishwa ndio anakuwa prof. siku hizi nasikia eti kuwa prof. lazima uwe na Phd na pia uandike sana, sijui lakini mwe mwe mie na darasa langu la saba ya wakubwa siyajui
Dah.. Uprofesa si lazima uwe na masters au PhD, ni kufanya utafiti tu na kama utakusaidia wewe au jamii inayokuzunguka basi tayari wewe ni profesa tayari,,,,, Profesa majimafupi, profesa mshana jr etc :)
 
Alikuwepo Profesa Pallangyo wa polisi pale kilwaroad
Mbona Ph.D ziko za kutosha tu huko Polisi. Kwa uchache tu alikuwepo Dr. Mohamed Chicco (Ph.D), Dr. Peter Kivuyo (Ph.D), Dr Ahmed Makata (Ph.D) na vijana kama watatu hivi. Kuhusu kuwepo wasomi mbona wenye Masters hata huwezi kuwahesabu. Ile dhana ya zamani kuwa askari hawana elimu iliishapitwa na wakati. Wewe ndiye unaejipambanua kuwa huna shule na elimu yako ni ndogo sana.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom