Sijawahi kupanda ndege

Ila fast jet kuna vituko sana nazani 80% ya watu mule ndani ndio inakuwaga mara ya kwanza kupanda ndege manake ndege ikitua tu hata jaijasimama utakuta almost kila mtu kasimama kwenye lile coridor sasa huwa najiuliza hawa jamaa huwa wanakimbilia wapi what if ikitokea labda cross wind then pilot aamue ku arbot landing si ndio atawamwaga balaa ha ha ha ha ha huwa nacheka sana alafu wale ma airhostes wanaacha tu watu wapalangane kwenye kushuka yani hamna ustaarabu kama kwenye SHABIBY au saibaba
 
Hivi lipo hilo jambo? Yani tangia dunia kuumbwa kwake, iwe wewe ndiye binadamu wa Kwanza kulifanya, jambo hilo lipo kweli?
Lipo mkuu, kuna vituo unanua hivyo alivyovitaja au hata vocha, karanga ,biskuti, azam cola
 
Mkuu wewe ni CCM nini?
 
Hahahahahahahahaa
 
ha ha ha ha ha lakini tukisema tuweke CV hapa mimi ni msomi zaidi yako na ukigundua mimi ni nani unaweza usinitanie milele ha ha ha
Mkuu usomi wako unasaidia familia yako, labda ni gundue kuwa wewe ni Mungu hapo nitaogopa sana lakini kama unaenda haja kubwa kama mimi hakuna shida twende kazi.
 
Mkuu usomi wako unasaidia familia yako, labda ni gundue kuwa wewe ni Mungu hapo nitaogopa sana lakini kama unaenda haja kubwa kama mimi hakuna shida twende kazi.
ha ha ha ha ha niko kwenye taasisi inayosaidia watanzania wengi kama wewe kuwatoa tongo tongo ningependa ningekua na cheo kikubwa sana but i choose to die with a title of mwalim
 
Shukrani sasa safari imeiva naamini ntafurahia sana japo sina ninachofuata Mwanza
Ninaamini kwa asilimia mia moja ukifanikiwa kutua Mwanza utarudi kwa basi..
Ndege inapoanza kuruka au kutua lazima upoteze network kidogo. Hili naloulifahamu.. Mpaka uwe sugu inabidi upande mara kwa mara..
 
Taratibu taratibu atazoea ha ha ha ha ha ha angepata safari ya kwenda mbali kama CHINA au Australia ange enjoy zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…