Sijawahi kuona...

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,991
Reaction score
5,234
Hii inaweza kuwa record nyingine hapa JF.Hebu nisaidieni wana chitchat,---- mada iliyowahikusomwa na watu wengi kwa wakati mmoja zaidi ya hii

There are currently 14223 users browsing this thread. (727 members and 13496 guests)
 
Duuh!
Huu utafiti umekuchukulia miezi mingapi?


Mara ya mwishi ilikuwa wakati wa matokeo ya uchaguzi lakini sidhani kama ilishatokea mada moja ikawa na wafuatiliaji wengi kiasi hiki ndio maana nimeona niulize huku..
 
Darling Hii ya Leo ya kanisa la Olasiti Arusha naona imeshika kasi...

Mmh na kweli mpenzi maana jinsi muda ulivyokuwa waenda watu walizidi kuongezeka...ila nchi yetu hii inakoelekea inatupasa tuwe makini mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…