ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Sijawahi gundua hilo mkuu,labda unijulishe kama alikuwa na ulemavu gani na ulianzia wapi?Mkuu usikufuru.
Mbele ya Mungu, mapungufu yako ya kimwili sio issue kabisa. Mungu akikuchagua, hakuna wa kupinga. Yeyote yule anaweza kupakwa mafuta. Ni mungu mwenyewe anaamua.
Unamjua Musa wewe?
Nenda kamsome halafu utagundua alikuwa na ulemavu gani.
Hupaswi kumtolea mungu sadaka yenye mapungufu,ktk biblia hakuna mpakwa mafuta aliyekuwa kilema au mwehu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa mkatoliki nadhanj swali la kitoto hivi isingeliuliza hapa. Upadre ni kujitoa kwa Mungu na huwezi kumtolea Mungu kitu chenye kasoro. Lazima uwe mkamilifu usie na mawaa ndipo unaweza kujitoa kutumikia kanisa kama kuhani(padre)
Mkuu kwa hiyo kwenye sakrament ya upadirisho mnakuwaga wengi tu wazima na walemavu mkiwekwa wakfu kwa Bwana? Au sihakuelewa!Mafuta yapi? Maana kanisani hasa katoliki tunapakwa mafuta karibu kila sakramenti. Na sakrament hizo mbona na vilema huwa tunapakwa nao!?
Mkuu kwa hiyo kwenye sakrament ya upadirisho mnakuwaga wengi tu wazima na walemavu mkiwekwa wakfu kwa Bwana? Au sihakuelewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni sheria,maana hata kwenye suala la uwanaume mashine wanazingatia sana
Sio wewe ni hanithi ukategemea kuwa padri noo
Lzm uwe umekamilika uanaume wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sakrament ni nyingi tu,na hakuna anayepata zote,kwa mujibu wa kanisa. Lakini katika biblia hizo sakrament sijaziona ndio maana nimezungumzia kupakwa mafuta maana hilo lipo kibiblia,isijekuwa tunazungumzia vitu tofauti hapa. Je kuna mpakwa mafuta aliyekuwa mlemavu katika biblia?Kwani kuna sakrament ngapi? Na mafuta yapi wewe ulisungumzia? Je mafuta hayo yanatofauti gani na yale anayopakwa padre?
Kwani mpaka leo bado kuna makuhani?Ungekuwa mkatoliki nadhanj swali la kitoto hivi isingeliuliza hapa. Upadre ni kujitoa kwa Mungu na huwezi kumtolea Mungu kitu chenye kasoro. Lazima uwe mkamilifu usie na mawaa ndipo unaweza kujitoa kutumikia kanisa kama kuhani(padre)
HapanaKwahiyo padri akipata ajali na kukakatika mguu anavuliwa upadri wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sijawahi ona au kukutana na zeruzeru mweusi!Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Sahihi mkuu. Upadre ni kama kuwa mwanajeshi. Huingii kwa kufanya escapism ya maisha ya kawaida. Unapaswa kuwa mzima tena mzima hasa. Ni uzima wa kimwili, kiroho na kiakili pia.Ndio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)
Kwanini...?
Upadre na Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..
Wajuzi watajazia nyama
Ndio maana nkasema hapana sio kigezo kimojawapo cha kua padriKwahiyo padri akipata ajali na kukakatika mguu anavuliwa upadri wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana.Sijawahi gundua hilo mkuu,labda unijulishe kama alikuwa na ulemavu gani na ulianzia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma mara tano sijakuelewa.Yaani unashangaa kwamba hujawahi kumwona padre kilema au umeshangaa kuona padre kilema? Hebu fafanua ndugu.Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?