Nilinunua kifurushi Cha mwezi mzima, leo watu kibao hapa walikua wanataka tufatilie ibada ya kupokea mwaka channel zinagoma mkuu ...NIMEAMUA kwenda zangu bar kukaribisha mwaka sipendi ujinga ...na kesho asubuh naing"oa na kuitupaKwani startimes inashida gani wakuu?
Wote tu hata DStvHata Azamtv ukiachana na mechi za Bongo na baadhi za Ulaya, ni takataka tu 🚮
Kwa kigezo hiki bc hata dstv n upuuzi tuuHata Azamtv ukiachana na mechi za Bongo na baadhi za Ulaya, ni takataka tu 🚮
Hata Dstv ukiacha mech za ulaya ni takatakaHata Azamtv ukiachana na mechi za Bongo na baadhi za Ulaya, ni takataka tu
DStv ni better kwenye other aspectsKwa kigezo hiki bc hata dstv n upuuzi tuu
Hata hiyo unayotumia wewe kuna mtu anaweza kuiona takataka.Hivi startimes huwa mnanunua au mnapewa bure? Maana siamini kama mtu na akili yako timam kabisa unaenda kununua startimes
Hata hiyo unayotumia wewe kuna mtu anaweza kuiona takataka.Hivi startimes huwa mnanunua au mnapewa bure? Maana siamini kama mtu na akili yako timam kabisa unaenda kununua startimes
Sasa naona mnaiponda na DSTV...sasa kampuni ipi nzuri ..nachoka Mimi...