Sijawahi kumuelewa Netanyahu hata siku moja

Sijawahi kumuelewa Netanyahu hata siku moja

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,315
Reaction score
7,137
Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani hivi mnamuelewa huyu Myahudi.
Kwa kifupi Bwana Netanyahu anamdharau Trump
 
Offensively and Defencewise Israel yuko vizuri, changamoto ni akirushiwa 200 at per hawezi hata akipewa msaada na dunia nzima
 
Huyo jamaa ana kesi ya ufisadi na rushwa so anatumia vita kuboost popularity yake na kukwepa mashtaka.

Trump alimuombea msamaha kwa Rais wa Israel ila hamna kitu bado kesi inaendelea.

So Lazima aivamie Iran ili abaki madarakani
 
Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani hivi mnamuelewa huyu Myahudi.
Kwa kifupi Bwana Netanyahu anamdharau Trump
Tulilishwa sana matangopoli kuhusu Israeli. Israeli ikijarlibu kuilushia hata jiwe Iran, inakwenda kufutika ktk ramani ya dunia
 
Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani hivi mnamuelewa huyu Myahudi.
Kwa kifupi Bwana Netanyahu anamdharau Trump
kwani wafia dini hampatagi usingizi bila kuwa na chuki na israel
 
kwani wafia dini hampatagi usingizi bila kuwa na chuki na israel
Ungezijua sela za Israeli hasa kwa watu ambao sio wayahudi, sijui kama ungeishobokea hivyo

Hitler alikuwa mzungu mwenzao lakini alitaka kuwafyrka wote wapotee ktk hii dunia ili kuwa na amani

Wazungu wa ulaya walianzisha kampeni ya kuwatafutia nchi yao na hiwe mbali na ulaya unafikili kwanini walifanya hivyo.

Wewe mshukuru sana M/Mungu nchi yako kuwa mbali na Israeli. Ungekuwa jirani nao ndio ungejua wayahudi ni watu wa namna gani

Najua unawashabikia waisrael ni kwasababu ya udini tu, jaribu kufanya utafiti kujua wayaudi and wanawachukuliaje watu ambao sio wayahudi
 
Wazayuni ni laana, imagine wanawaza maovu TU. Hakuna siku utasikia majirani zake ni amani yaàni yule jirani mtata haitaki kuona maendeleo ya jiran zake.
Hata siku moja Israel haijawahi kuanzisha vita na ma Jirani zake ma Jirani ndiyo wana ziara valangati na mara zote wanaangukia Pua kama walivyoangukia Pua Hamas,Hezbollah na Houth!!!
 
Ungezijua sela za Israeli hasa kwa watu ambao sio wayahudi, sijui kama ungeishobokea hivyo

Hitler alikuwa mzungu mwenzao lakini alitaka kuwafyrka wote wapotee ktk hii dunia ili kuwa na amani

Wazungu wa ulaya walianzisha kampeni ya kuwatafutia nchi yao na hiwe mbali na ulaya unafikili kwanini walifanya hivyo.

Wewe mshukuru sana M/Mungu nchi yako kuwa mbali na Israeli. Ungekuwa jirani nao ndio ungejua wayahudi ni watu wa namna gani

Najua unawashabikia waisrael ni kwasababu ya udini tu, jaribu kufanya utafiti kujua wayaudi and wanawachukuliaje watu ambao sio wayahudi
Ujinga mtupu unakusumbua!! Wewe unatumika tu kama Condom na waarabu angalia hapa chini uone wasio wayahudi wakijivinjari ndani ya Israe bila bughudha.

Tatizo ninyi Waarabu-koko mnatumika sana na waarabu kueneza uongo na chuki dhidi ya Israel lakini mmeshindwa kusema ukweli badala yake mnaeneza uongo tu
 
Attachments

  • v09044g40000d001dinog65ji2ktk45g.mp4
    33.7 MB
  • v09044g40000d001dinog65ji2ktk45g.mp4
    33.7 MB
  • v09044g40000d00muhvog65ndctr8vj0.mp4
    20.3 MB
  • v09044g40000d001nmfog65sipggqtrg.mp4
    6.4 MB
Ujinga mtupu unakusumbua!! Wewe unatumika tu kama Condom na waarabu angalia hapa chini uone wasio wayahudi wakijivinjari ndani ya Israe bila bughudha.

Tatizo ninyi Waarabu-koko mnatumika sana na waarabu kueneza uongo na chuki dhidi ya Israel lakini mmeshindwa kusema ukweli badala yake mnaeneza uongo tu
Wewe punga ndio umemaliza shift ya kuosha vyoo sasa unarandaranda hujuioni ni wewe mweusi pekee yako hapo unachafua mazingira ya taswira
 
Ujinga mtupu unakusumbua!! Wewe unatumika tu kama Condom na waarabu angalia hapa chini uone wasio wayahudi wakijivinjari ndani ya Israe bila bughudha.

Tatizo ninyi Waarabu-koko mnatumika sana na waarabu kueneza uongo na chuki dhidi ya Israel lakini mmeshindwa kusema ukweli badala yake mnaeneza uongo tu
Myahudi wa Sengerema una matatizo ya akili
 
Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani hivi mnamuelewa huyu Myahudi.
Kwa kifupi Bwana Netanyahu anamdharau Trump
Mimi namwelewa kwa upande wake, cha kwanza ukiwa na uwezo wa kupata bodyguard usichafue suti yako kupigana. Pili hata kama unataka mazungumzo huwez kurelax adui yako aliyesema akipata nuklia lazima aitumie kwako...3. Marekani inanufaika zaidi Iran kukiwa na amani na uchumi mzuri kuliko hata Iran yenyewe kwa sababu amani inasaidia biashara na mafuta kusafiri na kutumiwa na nchi za middle east ambazo kutoa Iran, zipo chini ya US.
4. Israel, US na Iran walikua marafiki wakubwa kuliko iliko ilivyo Israel na Saudi Arabia kwa sasa...Uadui ulikuja baada ya serikali ya Kishia kupindua nchi na kutangaza kuifuta Israel kwenye uso wa dunia.
Sasa tunajua lengo sio kufanya vita na Iran na kuiharibu kabisa...hilo US hawez kuruhusu kwa sababu ya maslahi yake, lengo la kwanza ilikua Israel ishambulie wakubwa wa majeshi na makombora ya Iran ili wa Sunni wafanikiwe kupindua serikali na kutoa utawala wa kishia unaohatarisha amani...hilo lilifeli kwa sababu Khamenei alibaki hai, pili ilikua kubana uchumi wa Iran ili raia wapindue serikali hiyo imeshindikana.
3. Israeli inaishawishi US kama watashambulia Iran hamna haja ya kushambulia Iran na kuiondolea uwezo wake wa kijeshi na bado ukaiacha serikali ya kishia kuongoza, itatengeneza nuklia tena mbeleni na vita haitaisha...
Changamoto ni kupata kikundi cha kisunni ambacho kilipinduliwa na Khamenei chenye ushawishi kwa raia wa Iran kitakachoweza kuchukua serikali pale US na Israel itakaposhambulia...hii ni kazi ngumu maana vikundi vingi vyenye ushawishi kwa sasa bado ni adui wa Israeli...hapo ndo kazi ipo kwa mossad na cia kujua watafanyaje
 
kwani wafia dini hampatagi usingizi bila kuwa na chuki na israel
Wewe ndio mfia dini either unakili finyu au labda huwa mnadanganyana huko makanisani

Vita zote za mashariki ya kati unazo zisikia ni vita za kiuchumi hakuna hata vita Moja inayohusiana na dini

Ngoja nikupe data nyepesi Ili uelewe maana wewe ni kilaza uliyepandikizwa chuki za kidini

Marekani aliwasaidia waasi wa Uturuki Ili waipindue serikali ya Uturuki
Urusi akaja akaisaidia serikali Ili isipinduliwe
Unajua Kwa nini?
Marekani ana mpango wa kupitisha momba la gasi kutoka Qatari kuenda nchi za Ulaya Ili nchi za Ulaya zisitegemee gasi ya Urusi lakini utawala ulipo Sasa wa Uturuki ni kikwazo katika hilo ndio maana Marekani walitaka kupindua utawala wa Uturuki Ili waweke kibaraka wao na Urusi akazuia hilo Kwa sababu analinda masilahi yake

Irani Ina gasi nyingi , mafuta mengi na Uranium nyingi na tecnologia ya hali ya juu Marekani wanataka waingie pale wanyonye hizo Mali lakini utawala wa Irani ni madhubuti ndio maana wanataka kuondoa utawala uliopo Ili waweke kibaraka wao wafanye wanavyotaka kama Venezuela na hiyo kazi ya kuangusha utawala wa Irani alipewa Netanyau lakini ameshindwa maana Israel ndio base kuu ya Marekani pale mashariki ya kati

Hakuna vita vya kidini pale ila ni vita vya kutaka uhalali wa kupora mali za watu

Sasa nyinyi wagalatia mnapandikizana chuki za kidini ambazo hazina kichwa Wala miguu
 
Back
Top Bottom