Sasa nayeishi mimi na wake zangu ni mimi,na ndoa zangu,moja ina miaka 40 na nyingine 35,unaweza kusema kuwa watu wanaaigiza kwa ndoa za miaka yote hiyo? jambo la muhimu ni kwamba usidhani kuwa unavyowaza wewe,na unavyoishi wewe basi sote tutaishi hivyo,ndoa ni kila mtu anavyoijenga,jinsi wanandoa hao walivyojipanga.