Sijawahi kumtukana mwanamke

Tusiojua kutomber lazima makofi yahusike
 
Mzee fimboyaukwaju wewe ni muongo lakini!
 
Kwa vipi mkuu.
Ulisema huoi unataka kujua nn we ndege Joni πŸ˜‚

Ndoa yangu haiwezi kufanana na ndoa yako mamodinyo baninyo πŸ˜‚ mkubwa

Ndiyo maana ndoa au maisha hayana formula, notes, sana sana Yana kitu kama pattern tu ya kukuelekeza napo sio Kila anayekubali hizo.

Ndoa Ina Siri kubwa in bahati bukuku's voice.
 
Ikitokea nimeoa nitamnyoosha mke wangu kama rula na watoto vile vile nitawanyoosha.

Yaani familia yangu ukiiona utaipenda bure mkuu.
 
Nilimpigaga mdogo wangu kipindi fulani anazingua skonga,bi mkubwa baada ya kumuona kavimba akanipiga marufuku kumpiga. Basi ila sijawahi kupiga mwanamke zaidi ya mdogo wangu.

Ila kuna demu mmoja hivi nilikuwa nae kwa kifupi alikuwa anashape tuzipendazo wanaume wa Africa, huyu aliniacha akaenda kwa jamaa fulani. Nikataka niende kwenda kwa yule jamaa ila nikasema tunaweza tukapigana kisa demu nikamute, demu nae simu zangu hapokei. Nikajikaza japo haikuwa rahisi ila baada ya miezi mitatu, nikamsahau.

Baada ya miezi kama nane yule demu alimtuma mdogo wake kuja kwangu na akaomba namba yangu ya simu kwa marafiki zangu. Akanipigia na kujaribu kuomba turudiane, nikamkatalia japo kuna kipindi nilisema ni mtumie tu kingono ila nikaamua niachane nae. Heee baada ya muda akaanza kunitisha kwamba atakuja kwangu kuleta fujo, nilimwambia siku atakayo gusa nitampasua hatoamini na nilikuwa na msubiria,uzuri hakuja maana ningemuumiza.
 
Mzee fimboyaukwaju wewe ni muongo lakini!
hapana,kila nachoandika ni kweli tupu.Unajua ndugu mimi ni suriyama,wazazi wangu mmoja ni mtz lakini wa pili hakuwa mtz.tumelelewa kwenye mila 2 tofauti na kufundishwa mambo mengi mno na pua mama yangu alikuwa ni mtu wa qmani sana na ndiye haswaaa alitunza kuwa usimpige mwanamke wala kumtukana.Mengi nayofanya ni mchango mkubwa sana wa mama
 
Je, mwanamke akianza kukupiga utafanyeje?
 
Kwahiyo huwa mnatukanana kwenye tendo la kuleta watoto?
 

Attachments

  • IMG_4852.jpeg
    42.8 KB · Views: 18
hujakutana na mijitu yenye midomo michafu wewe.

Kuna watu wanajua kukera, mtu anakwambia neno, unajikuta ushamzibua tu.

Vuta picha Manara alivyoambiwa hadindi ingekuwa kaambiwa face to faceπŸ˜€πŸ˜€. Manara kaandika caption kwa uchungu mno kujielezea, ilibaki kidogo apost mjulusi ukiwa wima.

Hawa viumbe wanakipaji cha kukera, omba Mungu ukutane na hao hao wastaarabu wasiovuka mipaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…