Sijawahi kumfikisha mwanamke kileleni

Sijawahi kumfikisha mwanamke kileleni

Natumaini jumapili ni njema kwenu wote.,
nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni
naombeni mnipe maujuzi ili niweze kumfikisha mwanamke yeyote yule kileleni.,

Tatizo linaweza hata lisiwe upande wako kwani yasemekana kuna idadi kubwa tu ya wanawake wenye kusumbuliwa na Anorgasmia.

Pia, kufika huko si lazima kusababishwe na kujamiiana/ mpenyezo (intercourse). Na tafiti zinaonyesha kuwa ni theluthi moja tu ya wanawake ambao hufika huko kupitia kujamiiana. Theluthi ingine hufika huko mara kwa mara wakati wa kujamiiana lakini huhitaji jitihada za ziada. Na theluthi ingine hufika huko kutokana na stimulation ya vidole au mdomo .

Vilevile, kama mwanamke hafiki kileleni haina maana kuwa wewe ni mchovu kwenye hayo makitu. Kumbuka, wewe ni mshirika tu. Hata yeye ana mchango wake, tena mkubwa tu kuzidi wa kwako, wa kufikia hicho kilele. Kwa hiyo, cha muhimu zaidi ni mawasiliano. Yeye akuambie anapenda nini, akuambie sehemu nyegereshi zake zilipo, na wewe usichoke wala kuona haya kumuuliza ufanye nini na umguse wapi.

Halafu, nijuavyo ni kwamba mwanamke si lazima afike kileleni ili kufurahia hilo tendo. Ule ukaribu tu wa miili kugusana wakati wa kujamiiana, ni jambo ambalo baadhi huwa wanalifurahia hata kama wasipopasua mbegu.
 
Unaonaje ukianzisha seminaa za kusaidia vijana? Maelezo yako yamejitosheleza sana.

Wangu kila akipizi mara moja ujue mm ni mara tatu kwenda mbele....nampenda mume wangu.

Sasa si umsaidiaje kijana mwenzio wewe hua unafikishwaje ili ajue ama ikiwezekana jaribu upange muonane ili umpe mafunzo kwa vitendo,kizuri kula na mwenzio dada.
 
Mpe basi mwenzio maujanja anayotumia mmeo ili naye aweze kumfikisha mkewe!

Akae tu na mkewe waambizane.....huduma nayopewa mm inaweza isimfae mkewe...amuulize tu akishikwa wap anashikika mazungumzo muhimu
 
Habari yako kijana...

Hadi sasa ushalala na wanawake wangapi?

Huwa inakuchukua muda gani tangu unapoingiza uume wako ukeni hadi kumwaga manii?

Ni maandalizi gani huwa unamfanyia mwanamke kabla hujamlala?

Zaidi ya kuingiza na kutoa uume wako kwenye tundu la uke, je ni utundu gani mwingine uujuao?

Natumaini jumapili ni njema kwenu wote.,
nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni
naombeni mnipe maujuzi ili niweze kumfikisha mwanamke yeyote yule kileleni.,
 
Na hua inauma kweli na kutia aibu..nlikua naona aibu siku mbili nzima
 
Tatizo linaweza hata lisiwe upande wako kwani yasemekana kuna idadi kubwa tu ya wanawake wenye kusumbuliwa na Anorgasmia.Pia, kufika huko si lazima kusababishwe na kujamiiana/ mpenyezo (intercourse). Na tafiti zinaonyesha kuwa ni theluthi moja tu ya wanawake ambao hufika huko kupitia kujamiiana. Theluthi ingine hufika huko mara kwa mara wakati wa kujamiiana lakini huhitaji jitihada za ziada. Na theluthi ingine hufika huko kutokana na stimulation ya vidole au mdomo .Vilevile, kama mwanamke hafiki kileleni haina maana kuwa wewe ni mchovu kwenye hayo makitu. Kumbuka, wewe ni mshirika tu. Hata yeye ana mchango wake, tena mkubwa tu kuzidi wa kwako, wa kufikia hicho kilele. Kwa hiyo, cha muhimu zaidi ni mawasiliano. Yeye akuambie anapenda nini, akuambie sehemu nyegereshi zake zilipo, na wewe usichoke wala kuona haya kumuuliza ufanye nini na umguse wapi.Halafu, nijuavyo ni kwamba mwanamke si lazima afike kileleni ili kufurahia hilo tendo. Ule ukaribu tu wa miili kugusana wakati wa kujamiiana, ni jambo ambalo baadhi huwa wanalifurahia hata kama wasipopasua mbegu.
Kwa maelezo haya nadhani wengi umewafumbua macho....ni somo tosha...
 
Habari yako kijana...Hadi sasa ushalala na wanawake wangapi?Huwa inakuchukua muda gani tangu unapoingiza uume wako ukeni hadi kumwaga manii?Ni maandalizi gani huwa unamfanyia mwanamke kabla hujamlala?Zaidi ya kuingiza na kutoa uume wako kwenye tundu la uke, je ni utundu gani mwingine uujuao?
Jirani....nakusalimia tu...
 
Hata mimi nina hilo tatizo, nakushukuru sana Al-shabaab kwa kuliweka hewani. teeh!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom