herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,129
- 4,712
Wasalaam,
Movie hii inaitwa THE DARK KNIGHT. Ilitoka mwaka 2008. Movie hii ili-gross USD 1 BILION (TSH TRILIONI 2.3). Kwa kweli Ni moja ya movie yenye SCRIPT Kali Sana.
Hii Ni movie ya ACTION, PLOT yake siyo inayonisikitisha Bali kinachonisikitisha Ni kuwa hii ndiyo ilikuwa movie ya mwisho ya mwigizaji Heath Ledger ambaye hapa aliigiza Kama THE JOKER.
Heath Ledger utadhani alikuwa anajua kuwa hii ndio itakuwa "muvi" yake ya mwisho. Alikamua kweli kweli. Kama hujawahi kuiangalia hii movie naomba uitafute halafu uniambie eti Yule "THE JOKER" Alifariki kabla hata ya uzinduzi wa ile muvi Yani hakufanikiwa kuiona kazi yake Ile.
Kinachonisikitisha zaidi Ni aina ya kifo ambacho LEDGER alikufa. Unaambiwa katika kuigiza hii movie, Ledger alikuwa hapati usingizi kabisa. Hata baada ya kumaliza kuigiza movie hii tatizo Hilo liliendelea kumkumba. Na Alifariki kutokana na kuzidisha dawa za usingizi. Alikuwa na miaka 28 tu na wakati anafariki muvi hii ilikuwa katika editing phase.
Ninapoangalia muvie hii sio kuwa nahuzunika kutokana na plot yake Bali ROHO inaniuma Sana nikifikiria kuwa Ledger (THE JOKER) HATUNAYE TENA.
R.I.P THE JOKER