Sijawahi kuichoka hii movie. Tatizo kila nikiiangalia ROHO inaniuma Sana Hadi machozi yananitoka

Usipende kuangalia za kutafsiriwa mkuu,zinapunguza uhalisia wa movies...Hata kama lugha inazingua,uwe una download subtitles na pia download English to English dictionary ili ikitokea kuna maneno hujayaelewa unayatafuta.
Na zile sio za kutafsiriwa bali wanahadithia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom