Sijawahi kufanya mapenzi, je kuna madhara nitayapata?

Holy shit!! 32 ni mingi mkuu...hakuna madhara maana hata Mimi nilichelewa nilianza nikiwa na 27 years....but ni jambo zuri kujitunza.
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa

uume utaota kutu shaur zako
 
Kifanyio gani ulichomaanisha?Au unamaanisha condom

Hahaaaaa kweli ndo mana Una miaka 32 hujafanya mapenz jibu lako limenistua angalia usije ukakosea mahali pa kuingiza kama haujui hata kifanyio ni nini .

Kifanyio ni du....du ndo utakayo itumia kufanya mapenz siku ukioa umeelewaa?
 
Na vishawishi hivi,ukisoma gazeti kuna picha za uchi,tv za uchi ,kwenye daladala unakuta watu wamekaa uchi yani kila mahala unapotazama ni vishawishi....na nikikumbuka presha ile ya kipindi cha barehe hata ukiona brazia unadinda kote huko umeruka...ase siamini kama kuna mwanaume wa hivyo
 
UTAMU UMEKATA MWULINI,BROTHERS INABIDI UPATE KILA SIKU SUPU YA KONGORO,JION MIPWEZA HARAFU SIKU MOJA UNAPIGA CHA MKUYAT,weeeeeeeeeee#
 
Kua makini sana, wataalam wamambo ya jinsia wanasema, ukifika miaka 33 bila kufanya hivyo jinsia yako inaweza badilika, kama ni mwanaume basi unakua mwanamke na kama ni mwanamke basi unakua mwanaume, au kiungo chako kinapotea kabisa na kubakia shimo tu....sasa chagua kama bado unataka kua bikra.
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa

Muombe mungu,usiskilize usgauli utapotoshwa,sasa ili usiabike mshilikishe mng upate mke bikra kama ww,usijalib kufanya na usifanye mpaka uowe omba mng sanaa kaka,
 
Huko kujichua sijawah coz ninamwogopa Mungu ndio maana nimeamua kutofanya hivyo mpaka nioe,na ninaamin atanipa mke mwema ambaye hajawai kufanya hayo mambo,kwa sababu kwenye bible Mungu amesema ukiniheshim nami ntakuheshimu

sasa umekuja kuomba ushauri wa nini soma biblia itakupa majibu humu wote used tayari hawana jibu la kukupa
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa

Hakuna madhara.

Ukipata mke bikira atakufaa sana maana wote mtakuwa mnajifunza pamoja.

Ukioa mwanamke aliyezoea kufanya mapenzi itakuwa shida kidogo hasa kama hayuko tayari kukufundisha na kukuvumilia katika uanafunzi wako.
Wanawake wa namna hiyo husema "hubby hayupo good on bed". Hivyo wengi hushindwa kuvumilia na kurudi kwa akina "x"
 
bao za usingizini vipi?? zishatokea?? kama bado utakuwa hujabalehe......kawaone wataalamu.....
 
Back
Top Bottom