SIJAWAHI KUACHWA.......

SIJAWAHI KUACHWA.......

Yaani ukiona uliye muacha hana taimu na wewe basi ujue na wewe amekuacha,

Ukiona una acha acha kila mpenzi ujue una vinasaba vya umalaya au uchangu doa
 
...na unaendelea kujaza yutong kila unapoacha na kuanza upya. Hapo pia panahitaji hongera.
 
Mtoa mada umefungua mjadala unaoitaji elimu pana ya psychology
Wakati unaonesha uelewa uko chini

Maelezo yako yanasibitisha kisaikologia wew ni mgonjwa
USHAIDI WA KISAIKOLOGIA

1/mwmme anapenda kwa kutumia akili/mind
1/ mwmke anapenda kwa kutumia moyo/heart
UFAFANUZ
kwakua mwmme anatumia akili kumpenda mtu kimapenzi njia kubwa inakua seeing/kuona kwa macho: mfano mwenye matako makubwa, chuchu sa 6, mrefu au mfupi, mweupe au mweusi n.k.
Kwa mwmke :
Anapotumia moyo kupenda unapaswa kujua sifa za moyo ni zipi
Rejea maneno haya kutoka kitabu cha biblia
"LINDA SANA MOYO WAKO KULIKO VYOTE ULINDAVYO MAANA NDIKO ZITOKAZO CHEMICHEMI ZA UZIMA"
moyo unasifa ya kuchelewa kupenda na UKip end a hauchukii kiraisi at a ukiumizwa kwa makusudi (ndo maana wanawake wakitongozwa first time utawasikia nipe muda nikufikilie-ushahidi)
KWANINI NAAMINI HUU MGONJWA WA KISAIKOLOGIA:
unaonyesha unaamini na kufurahia kuwaacha wanaume ukizani ni sifa njema wakati huu ni ugonjwa Wa akili
 
Huu wako wote ni mchanyato wa
Sayansi ya Saikolojia pamoja na Imani.

Vipi kwa asiekuwa na Imani na asieisadiki Sayansi hiyo?

'Batamu haba'
 
Back
Top Bottom