Hivi karibun, kampuni ya Facebook ilifanya update ya emoji katika applications zao ( Facebook na WhatsApp ) , moja ya mambo waliyoongeza ni pamoja na emojis zinazoashiria mapenzi ya jinsia moja " USHOGA" .
Baadh ya serikali zimesha iomba facebook kublock matumiz ya aina hizo ya emoji kwa subscribers wa nchi zao kwa kuwa mila, desturi na sheria za nchi zao haziruhusu vitendo hivyo. Mojawapo ya hizo nchi ni INDONESIA
Tanzania na Africa kwa ujumla imekuwa ikipiga vita ushoga, lakini nashindwa kuelewa sio Tanzania pekee, nchi nying za Afrika pia kwa hili mpaka sasa zimekaa kimya , kwa kuwa matumiz tu ya hizi emoj ni moja wapo ya njia na njama za hawa watu wenzetu kuhalalisha hii tabia ambayo imekatazwa mpaka kwenye vitabu vyetu vya dini
Swali langu :
Je serikali imekubaliana na mitandao hii kujumlisha aina hizi za emojis ambazo pasipo mwangalizo zitachangia kwa wingi ongezeko la Ushoga Tanzania.?
Je kama sio, ni lini watatoa katazo au tamko kwa kampuni hizi kuhusu subscribers wa Tanzania na matumiz ya emojis hizi.?