Sijapata unyumba kwa mke wangu miezi sita sasa

Yaani akipata mimba ya NNE ndio atahama chumba kabisaa,...hebu jaribu kuongea nae kwa upole na ikiwezekana toa chozi mshenzi ili kiidogo akupe haki yako,mwambie huwezi chepuka hata kwa dawa so unaumia mnoo na kuteseka sana juu ya mapenzi yenu,.pia mkumbushe zile mechi za nyuma wakati wa ujauzito wenu,mwambie umezimisi mnooo,akupe jamani hata robo kha!!!!
 
Mbembeleze sana mwishowe atakubali, unakosa uhondo ukichukulia wajawazito walivyo watamu usipime.
 
Mara nyingi sababu huwa ni sisi wenyewe wanaume. Vuta picha kwa hisia za ndani kbs - unakumbuka wakati mkeo ana mimba ya mtoto wenu wa 1 ? unaonaje ukilinganisha na hivi sasa ? ule upendo, ukaribu, mapenzi, mahaba, ukarimu, heshima na kumjali vinafanana?( bila shaka jibu la moja kwa moja lenye kweli ndani yake ni HAPANA). Kama ndivyo basi ujue kuna pahala hapako sawa. Nafahamu wanaume tulio wengi huwa tunawapenda na kuwajali sana wake zetu hasa wanapokuwa na mimba ya mtoto/ watoto wa kwanza na sababu yake inajulikana i wazi kbs ni ile hamu ya kuwa na mtoto ambaye una uhakika ni wako i.e wewe unakuwa baba na yy mama X hivyo tension huwa kubwa kiasi cha kumpa mke matunzo adimu, maalumu bila kujali kwamba akilini unatambua ama kutotambua.

Shida inakuja kwa mimba ya pili hali ile hupungua na ya tatu ndio kabisaaaa na kuendelea. Inakuwa ni jambo la kawaida sasa mkeo kushika mimba akazaa- kumbuka nae pia mindset yake hujitune hivo hivo kadiri unavompa ile attention kwake. Matokeo ya hii ni hayo unayoyaeleza hapo. Kama tungelizingatia mambo haya bila kujali idadi ya watoto nina hakika tusingekutana na mapungufu haya isipokuwa kwa nadra sana
 
Njia ni moja tu ya kuzungumza naye kwa u pole na utani na vizawadi vidogodogo unamwambia tubadilishane na hiyo hizi zawadi kama unafanya masihara harafu inakuwa kweli kuchepuka mbaya utaleta mikosi ndani wengine wanakuwa na majini mahaba utaathiri familiar yako mkuu
 
Back
Top Bottom