magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,200
- 3,317
Mimba ya 3 ndo awe na visa vya aina hii..!!? Kwa uhakika nakuambia hakuna kitu km hicho..! Ukweli ni kwamba kuna tatizo zaidi nje ya hayo unayowaza..! Kwa miezi yote hiyo ambayo hajakupa na hana matatizo ya kiafya,anakula anashiba,familia ina amani hata kwa 51% tu,hawezi kukosa hamu ya tendo la ndoa..labda km hizo sababu hapo juu ni kinyume chake! Km hana hizo shida,maana yake kwa 10000% anapigwa nje na kibaya zaidi..huenda hata hiyo mimba siyo yako..mkeo atakuwa amefanyia kazi ule utafiti wa kila watoto 3 mmoja siyo wako...! Au mimba inaweza kuwa yako lkn kuna jamaa limedanganywa kuwa ni yake na ndo linapewa hiyo huduma na mkeo anatumia hiyo mimba kujilinda kwako.
Ushauri: mchunguze mkeo km hana hizo shida lazima anachepuka! Zingatia hilo neno nililotumia "Lazima".
Ushauri: mchunguze mkeo km hana hizo shida lazima anachepuka! Zingatia hilo neno nililotumia "Lazima".