Sijapata unyumba kwa mke wangu miezi sita sasa

hilo linaitwa GUBU LA mimba hahaa
baadhi ya wanawake wakiwaga katika hali hiyo huwa wanajikuta ghafla tu wanavutiwa na kijana flani hapo mtaani
yaani siku ikiisha bila kumuona huyo kijana wakiume hajiskii mijarabu kabisa yaani

sasa itategemea nahuyo kijana atakuwa anajiheshimu vipi kuna wengine ambao hujiheshimu huwa wanaishia kuwa tania tu UTASKIA WEWE ITAKUWA MIMBA YAKO NI YAMTOTO WAKIUME HIYO NDIO MAANA WAMPNDA PENDA na kijana huwa havuki mipaka Zaidi ya hapo

ila sasa ikitokea kijana aliye bahatika kupendwa na mkeo akiwa nimshenzi mshenzi tabia zake kama za gudume MKUU TARAJIA KUONGEZEWA MASKIO NA PUA KWA HCHO KIUMBE CHA TUMBONI TOKA KWENYE ACID ZA HUYO KIJANA mla vya watu
 
MKUU USHAURI WANGU MCHUNGU, ILA KWA KUZNGATIA SCENARIO YAKO, NASIKITIKA KUKUTAARIFU KUWA, 99.99% HIYO MIMBA SIYO YAKO NA MWENYE MIMBA NDIYE ANARUHUSIWA KUJAZIA.

ONYO: HAYA NI MAONI TU, WAWEZA KUYAPUUZA/KUYAKUBALI, NA SIHUSIKI KWA ATHARI YOYOTE ITAKAYOTOKANA NA KUZINGATIA/KUPUUZA MAONI YANGU.
 
Mimba nyingine ni shider.. vumilia mtu

mimi mke wangu naye hivyo hivyo, nikawa naomba mpka napitiliza maombi.. akiamua kunipa.. Nikiweka dyudyu tu, anatapika....

mpaka ajifungue ndio nakula mzigo kwa raha.. Uvumilivu kaka
 
Hawa mama zetu some time wanapitia nyakati tata.Nafikiri kama umeweza kukakaa miezi sita inawezekana sana kuongeza hata sita mingine.So vumilia ajifungue mjadiliane muda mwafaka wa kuanza kurubisha maziwa ya mzuwanda!
 
  • Thanks
Reactions: lup
Hawa mama zetu some time wanapitia nyakati tata.Nafikiri kama umeweza kukakaa miezi sita inawezekana sana kuongeza hata sita mingine.So vumilia ajifungue mjadiliane muda mwafaka wa kuanza kurubisha maziwa ya mzuwanda!
Haya kapeace kwa heshima na taadhima naomba nikukarishe PM, kwangu kwa ajiri ya faragha zaidi
 
Wakuu Salaam.

Naomba kujifunza kutoka kwa wanandoa wenzangu ambao mmeshakutana na hii hali.

Nimeoa miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili katika ndoa yetu na hivi sasa mke wangu ana ujauzito wa mtoto wetu wa tatu.

Katika mimba zake zote mbili zilizotangulia hasa ya kwanza alikuwa anapenda sana tendo la ndoa hadi mwezi wa kujifungua.Nakumbuka ilikuwa kama siku nikishinda nyumbani basi tuliweza kufanya hata mara kumi. Hadi ilifika mahali nilihisi ananizidi pumzi kwenye mechi ikanibidi nijifunze mbinu za kumudu mwendo mrefu ndipo nikafanikiwa kwenda nae sawa.

Alfajiri kabla hatujaamka ilikuwa lazima nimpe huduma, akinywa chai tu ananiita mechi inachezwa hadi muda wa lunch. Jua likipoa kidogo tunapiga tena mechi, saa kumi na mbili tunatoka tunakata mitaa kidogo tukiingia kulala mechi inapigwa tena na humo katikati ya usiku naamshwa mechi inapigwa vizuri tu. Kumbuka nilikuwa tayari nimepata darasa na uzoefu wa kumudu huo mchaka mchaka na nikawa naenjoy sana.

Aliposhika mimba ya pili hali iliendelea hivyo japo haikuwa kwa kasi ile ya mimba ya kwanza.

Sasa hivi ana mimba ya miezi mitano ya mziwanda wetu anaenda wa sita lakini tangu wiki ya kwanza ya ujauzito hadi leo hataki hata nimguse. Kifupi tunalala mzungu wa nne. Kila siku anasema yuko vibaya. Najitahidi kumuelewa na kumsaidia amalize safari yake salama bila kumsumbua lakini kiu ya tendo niliyo nayo ni kama mlevi aliyezuiwa na daktari kunywa pombe hadi apone.

Swali langu, Je hii ni kawaida? Ni njia gani bora ya kufanya ili kuvuka kipindi hiki kigumu kwa sisi wanaume waaminifu kwa ndoa zetu?

NB:
Tunalala mzungu wa nne kila mtu na shuka lake ili tusigusane kabisa maana kiu niliyonayo hata tukigusana miguu tu mimi nakuwa na hali mbaya kabisa.

Napenda kusikia kutoka kwa watu waaminifu kwa ndoa zao hasa wanaume mliopitia changamoto hii mlifanyaje.

Naomba kuwasilisha.

"Watoto" najua mpo humu itapendeza mkikaa kimya wakubwa wanapojadili mambo ya kikubwa.
Hyo mimba ya kwanza chifu ulikua unashinda home ad kajifungua? Maana hapo sio usiku,hasubui,mchana au jion ulikua ni muda Wa kula papuchi tu..nawaza tu kwa sauti uliingizaje kipato!

Nb; umejitaid kuvumilia mshawish ikishindikana vumilia tu bado kitambo kidogo.
 
Nna wasiwasi na hiyo mimba sio yako mkuu ila usitake kuichunguza sana kwa sasa na wala asijue kama unaichunguza

Ukitaka unyumba Fanya mtoke out mida ya jioni na mpate mlo wa usiku mahali tofauti na nyumbani then mrudi mida ya kulala kabisa kabla hamjalala omba mkaoge pamoja naamini hapo utakua umeteka hisia zake japo kwake inaweza kua ni kidgo mkirudi ndani mfanyie massage vzr kabisa yani unakua kama unambembekeza alale kwa hatua hiyo ya massage huku ukiwa romantic I hope you're going to win her

Kwa njia ya massage kwangu hakuna mwanamke aliewahi kua mjanja hata cku moja
 
Hayajakukuta Mkuu !Mimba nyingine ni full utata lkn ni ishu ya mpito akiwa kawaida ipo Siku atajishangaa!
 
wanaume tuna majaribu sana aisee, vumilia chief ila usichoke kumshawishi kwa upendo na upole ipo siku na yeye yatamuamka atakupa tu. pole sana.
Acha tu, wanawake wanafikiria siye majiwe, hata jiwe huwa lavunjika, itakomsesha mkuu confidence na raha ya moyo, pole zake kwa kweli, wanaume tunahitaji misaada kwenye mambo kama haya sana..
 
Wakuu Salaam.

Naomba kujifunza kutoka kwa wanandoa wenzangu ambao mmeshakutana na hii hali.

Nimeoa miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili katika ndoa yetu na hivi sasa mke wangu ana ujauzito wa mtoto wetu wa tatu.

Katika mimba zake zote mbili zilizotangulia hasa ya kwanza alikuwa anapenda sana tendo la ndoa hadi mwezi wa kujifungua.Nakumbuka ilikuwa kama siku nikishinda nyumbani basi tuliweza kufanya hata mara kumi. Hadi ilifika mahali nilihisi ananizidi pumzi kwenye mechi ikanibidi nijifunze mbinu za kumudu mwendo mrefu ndipo nikafanikiwa kwenda nae sawa.

Alfajiri kabla hatujaamka ilikuwa lazima nimpe huduma, akinywa chai tu ananiita mechi inachezwa hadi muda wa lunch. Jua likipoa kidogo tunapiga tena mechi, saa kumi na mbili tunatoka tunakata mitaa kidogo tukiingia kulala mechi inapigwa tena na humo katikati ya usiku naamshwa mechi inapigwa vizuri tu. Kumbuka nilikuwa tayari nimepata darasa na uzoefu wa kumudu huo mchaka mchaka na nikawa naenjoy sana.

Aliposhika mimba ya pili hali iliendelea hivyo japo haikuwa kwa kasi ile ya mimba ya kwanza.

Sasa hivi ana mimba ya miezi mitano ya mziwanda wetu anaenda wa sita lakini tangu wiki ya kwanza ya ujauzito hadi leo hataki hata nimguse. Kifupi tunalala mzungu wa nne. Kila siku anasema yuko vibaya. Najitahidi kumuelewa na kumsaidia amalize safari yake salama bila kumsumbua lakini kiu ya tendo niliyo nayo ni kama mlevi aliyezuiwa na daktari kunywa pombe hadi apone.

Swali langu, Je hii ni kawaida? Ni njia gani bora ya kufanya ili kuvuka kipindi hiki kigumu kwa sisi wanaume waaminifu kwa ndoa zetu?

NB:
Tunalala mzungu wa nne kila mtu na shuka lake ili tusigusane kabisa maana kiu niliyonayo hata tukigusana miguu tu mimi nakuwa na hali mbaya kabisa.

Napenda kusikia kutoka kwa watu waaminifu kwa ndoa zao hasa wanaume mliopitia changamoto hii mlifanyaje.

Naomba kuwasilisha.

"Watoto" najua mpo humu itapendeza mkikaa kimya wakubwa wanapojadili mambo ya kikubwa.
Siku moja usirudi nyumbani bila taarifa nenda hata kwa ndugu uone reaction
 
Hata mm mkuu mke wangu ndo amejifungua yaani natamani balaa ila sasa sitaki nimuumize mgongo!!!pole lkn vumilia tu maana miezi 7 ijayo utaanza maisha mapya tena kama ya zamani coz akijifungua atakuwa kakumic balaa

Lukwafya
 
Mara nyingi mimba ya mtoto wa kiume.. mwanamke huwa hapend kabisa ku do.. mimi ilitokea hivyo kwa wife.. wakat anamimba ya mtoto wa kike.. ilikua ni kila siku ni zaidi ya mara 5 au 6 kila siku mpaka siku ya kujifungua.. mambo ilikua tofauti aliposhika mimba ya mtoto wa kiume.. yan ni mara 1 kwa mwezi au miez miwili.. so we mvumilie.. atajifungua na akimaliza miez yake ya kurecover utaenjoy tena.
 
Back
Top Bottom