Sijaona Update ya application jamiiforums muda mrefu

Sijaona Update ya application jamiiforums muda mrefu

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
Natambua kwamba app ya jf imetoka mbali sana. lakini naona ukuaji wake upo taratibu. ukilinganisha na app zingine. kwa sababu app zingine naona wanajitahidi kila siku kutoa update na kulekebisha baadhi ya makosa ya app ili waendane na wakati.

Lakini jf saizi karibia mwaka mzima sijaona Update yoyote ya app ya jf hadi nikajiuliza wataalamu wa technology wa jf wanafanya kazi
Gani? au hawapo kabisa.
 
Back
Top Bottom