Wakati Bunge likiendelea na Mijadala kuhusu Wizara za Nishati na Madini, na ile ya Uchukuzi, Naibu Spika Job Ndugai alikuwa mtulivu na mwenye hekima tele kiasi cha my wife wangu kumsifia kuwa Ndugai ameanza kuwa na hekima mara baada ya Mbunge mmoja kumaliza kuchangia na Naibu Spika kusema; "Mheshimiwa Tunmdu Lissu, nimekuona, nitakupa nafasi mwishoni...."
Kiichonishangaza hadi anaahirisha kikao, Naibu Spika hakumpa nafasi Mheshimiwa Tundu Lissu, nimeshangaa na kujiuliza maana yake nini.

maana yake muda haukutosha au ulitaka waongoze muda wa nusu saa kwa mwongozo mmoja wa lisu na mawasiliano yalifanyika kati ya ndugai na lissu pale bungeni.usihofu
Huenda busara zimepitiliza,
Nakushauri umwambie mkeo asiwe anasifia kabla ya kufika mwisho.

Bunge lote la wasengerema sio ccm,cuf,chadema,nccr wote ni ma,,,,,,kma
TUNDU LISSU angeishia kutukana tu maana imethibitishwa kuwa aliwahi kuugua maradhi ya akili
mbona hata wewe unaumwa ugonjwa huohuo? Heri yeye aliugua na kupona kuliko wewe ambaye bado unaumwa! Badala ya kuchangia kilicholetwa unaangalia historia ya mtu?! Lisu ni sawa na wabunge 100 makini wa ccm na mnamgwaya kwani hata nafasi za kuchangia mnaogopa kumpa.
Grow upstair na sio kuongeza hips wewe!