sijamuelewa mh. Balozi

sijamuelewa mh. Balozi

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
8,149
Reaction score
6,556
sijamuelewa mh. kwenye hii clip, ina maana sisi tu madomo zege
 

Attachments

Ni kweli balozi. Vijana wengi wa kiume siku hizi hata ile salamu tu hawajui, sembuse kutongoza! Kuna mmoja alinisimamisha barabarani akawa ananitezama tu hasemi kitu, nikamsonya nikaenda zangu. Nilivyomwona,huyo tungekutana kwenye njia yenye vichaka vingi angejaribu kunibaka.
 
"Watoto wa siku hizi warudishwe darasani wafundishwe jinsi ya kutongoza"

Daaah aisee
 
Back
Top Bottom