chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,352
- 25,874
hii mada pila picha ni sawa na ccm bila jeshi la polisi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] juu kwa juu. .kwamba mchz alikua anasukuma gar. Likiwaka ajifanye ye n derevaKWANI WEWE UNA UTAALAMU NA MAMBO YA MASSAGE AU ULIKUWA UNATAKA KUMEGA KISELA...
Mkuu inaonekana wewe ni domo zege uliataka kupiga juu kwa juu
jamaa na wewe... unayumba.. dem kama unataka kumchinja,usisingizie visingizio vya ajabu.. eti massage..!!!.. umeyumba kweli.Habari wakuu,,
Huyu Dada nimetokea kuzoeana nae ni miezi sita sasa imepita sijawahi mtongoza ila maisha ninayoishi nae kama tupo kwenye mahusiano na hivyo ndivyo tujuavyo
Kilichonileta hapa wiki kama mbili zilizopita ni kuwa nae chemba nikataka kumfanyia massage mwanzoni hakuonyesha kipingamizi ila muda baada alikataa kabisa mpaka nikaanza kumuogopa na kuniambia mambo makuu mawili
1..Namdhalilisha yeye
2. Nitamtangaza kwa marafiki zangu
Hii imekaaje wakuu?
Umenichekesha mkuu duu,asanteKWANI WEWE UNA UTAALAMU NA MAMBO YA MASSAGE AU ULIKUWA UNATAKA KUMEGA KISELA...
Mkuu inaonekana wewe ni domo zege uliataka kupiga juu kwa juu
Wanaume tumepungua yani hizo ni hoja za kitoto ushindwe kuzijibu