Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Lamri gan bana sema jamaa amejiandaa kifedha.........ingekua lamri kila mtu angeenga tene Zito na January makamba wangekua wakwanza.
Lowassa ndiyo mgombea wa ccm 2015, hivi hapo ccm wapo kwenye kampeni tayari.
Utamuelewa tu kwenye uchaguzi mkuu.
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
huwezi kumwelewa kwa sababu wewe upo bavicha.
nasikia ccm wanaareji na wachaga..! Vp kuhusu lowasa?
sasa utamuelewaje wakati we mwenyewe shule hakuna,dj wenu mbowe mwenyewe shule hakunaga
utamwelewa tu itakapofika mwaka 2015,lakini kumbuka kuwa yeye ni mwanachama wa ccm na pia ni mbunge kupitia ccm,kuvaa kufia tu kunawakilisha chama chake kilichomfanya awe hapo alipo,yawezekana wakati wanamwalika hakukuwa na katazo la uvaaji wa sare za chama,kwa kuwa hajavunja sheria na watu waliokuwepo eneo husika kumkubali hadi kumwita rais ina maana walikubaliana na kila kitu alichokuwa nacho ktk eneo la tukio
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Mwambie asigombee, uchaguzi ujao midahalo itakuwa minne kama marekani. Watanzania hatutaki kurudia makosa si unaona hawa tuliowapa nchi bila kuwakutanisha kwn midahalo jinsi wanavyochemsha?Utamuelewa tu kwenye uchaguzi mkuu.
Mh. Lowasa amealikwa kama mgeni rasmi, Kwa kawaida wageni rasmi huwa ni wa2 maarufu kwa nafasi mbali2 walizonazo na Lowasa ni mwana SIASA na alialikwa kwa umaarufu huo hivyo basi hana budi kuonyesha kile ambacho ndicho kinacho mfanya atambulike na aweze hata kualikwa pale,