Habri wana CC, baada ya uchunguzi wangu mdogo nimegundua kumbe lile Tangazo ni kweli alikuwa mzee wetu hapa almaarufu
Bishanga, siku zote twaiona avatar yake hana shati sasa ameamua kwenda kununua mashati ya chui chui na mikanda ya kamachumu. Hongera sana Uncle Bishanga, by the way umeshinda milioni moja ndio unataka kununua na duka lote? unajua hata rent tu hapo bado? kuhusu yule muuzaji wa nguo anasikika kama vile
Nicas Mtei bado naendelea na utafiti. sasa mzee
Bishanga uweke avatar yako na shati lako la chuichui jipya hapa.
kuna wajomba zako kama kina
Zion Daughter na wengineo sio vyema wakawa kila siku wanona chest ya uncle.
PIa kuna lile Tangazo la mkongo anayemwaga ofa bar, jamani kwani hii inakuuliza kwamba huyu ni
Chimbuvu? sasa mkuu hivi uliangalia salio lakini baada ya kuagiza kila mtu anywe kile anajisikia, na hebu muulize kila mutu atakula nini
LOL....
copy kwa kamati ya utafiti.
noahism,
Filipo na
snowhite