Sijalipenda hili jina

Sijalipenda hili jina

mshana jr punguza misosi. unaona sasa kijana mdogo inafananishwa na wababa

Sista nitaanza gym halafu nitanyoa kiduku na kuweka wave na superblack hafu usoni nitafanya ile scrub, nitavaa cheni nk tuone kama jina halitabadilika
 
Last edited by a moderator:
pole mbaba kwa kupata makwazo jioni hii kutoka kwa mhudumu, ila nimecheka sana. Sasa ulitaka akuiteje labda?

afadhali hata angeniita boss au mkaka! Mbaba lol!!!? Hii minyama uzembe inatunyima vingi wallah
 
hahahaahaha looh mpwa bana

sasa miki wananiitaga RAFIKII
 
Nimetoka kwenye mihangaiko yangu nikaingia bar moja pande za sinza nipoze koo na kula japo kongolo. Baada ya mhudumu binti mkubwa tu kunihudumia nikamwomba aniitie mtu wa jikoni akapaza sauti akasema 'wee mangi huyu mbaba hapa anakuita'! Amenikera mno kwani kashindwa kutumia jina lingine?

UNacomplicate maisha
 
Hai hai umbuje!!
Usichukie,ni ukumbusho kuwa unaelekea saa 12 jioni!!!

If two past lovers can remain friends its either they are still in Love or they never were!!! - Ennie huwa natafakari sana huu ujumbe!!!!

Last edited by a moderator:
If two past lovers can remain friends its either they are still in Love or they never were!!! - Ennie huwa natafakari sana huu ujumbe!!!!

I hope huanzi kuwafikiria wale ex ambao uko nao friends mpaka sasa kwamba mnaangukia kwenye Still in Love au Never were!
Kuna exeptions best!!
 
I hope huanzi kuwafikiria wale ex ambao uko nao friends mpaka sasa kwamba mnaangukia kwenye Still in Love au Never were!
Kuna exeptions best!!

Thanks..i was thinking of the same.

Lakini pia inaweza kuwa hivi:

- kuna wale unawasiliana nao koz u stil have feelings for them ila wao hawana

- kuna wale wanaowasiliana nawe koz bado wana feelings na wewe na wewe huna, u r just playing a good boy!
 
Sure,hii ipo sana.
Kuwasiliana baada ya ku break ni kawaida kwa sababu zozote zile ila being "friends" naona ngumu.
Binafsi tukibaki friends najua the past affair was a mistake,kuna ninavyovutiwa nawe na kuna unavyovutiwa nami ila havitoshi kutufanya tuwe wapenzi but marafiki na kwa sababu tumeshakubali hilo(mutual agreement) hatuna tena haja ya ku fake tusicho feel tutakuwa marafiki wazuri tu.
Kama kweli nilikupenda,tutasalimiana tukikutana,tutawasiliana ikibidi ila ukaribu wa ku chat,kutembeleana au simu za kujuliana hali tu SAHAU!!!
 
Sista nitaanza gym halafu nitanyoa kiduku na kuweka wave na superblack hafu usoni nitafanya ile scrub, nitavaa cheni nk tuone kama jina halitabadilika

Huna haja ya kusumbuka kiasi hicho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom