Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.
Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake.
Source:Mwananchi Breaking News
Mimi nimechoka jamani.
Acha ujinga mtoto wa kiume unakuwa mshambenga jitambueChochea kuni...
Mods ikithibitika aliyeleta uzi apewe LIFE BAN pamoja na kwamba ana ID nyingine atakayoendelea kuitumia
Yatasemwa mengi ila ndiyo wanawakomaza na kuwaandaa kisaikolojia kuchukua nchi.