Sijafungwa kitambaa usoni - Spika

Sijafungwa kitambaa usoni - Spika

Hata ukimuita mwendawazimu......"we kichaa njoo" hatakuchekea, Makinda hajijui kama ni bogus na aliwekwa na wale waliotaka Sitta atoke; cheap prize. Namhurumia kuuvaa mkenge ataumia sana hadi kuifikia 2015

Ukiona baba anajitambulisha nyumbani ujue yamefika shingoni...ooh mimi siongozwi na wabunge mimi ndio naongoza....tafakari
 
Wanawake kama ndo mkiwezeshwa mnakuwa namna ya alivyo spika anne basi hatuna haja ya kuwawezesha wanawake. Hosp. Ya mkoa wa moro inaøngozwa na mwanamke naye nibomu. Hadi sasa sijaona role model mwanamke anayefanya vizuri kiungozi. Ndo maana hata mwl. Nyerere alisema wakati wa kuongozwa na mwanamke haujafika. Ladies work hard
 
Huyu anataka atufanye tuelewe kuwa wanawake hawana uwezo wa kuongoza

kabisa , kwa sababu huyu ndio the best kuliko wote , i mean huyu ndio wamemuona kuwa ni kichwa kuliko wanawake wengine sio?
 
Huyu mama hadi sasa ameshaongeza majimbo karibia 30 kwa upinzani 2015 kwa namna anavyoliongoza bunge, hili bunge Six angeliweza lakini huyu maza anatia huruma wakati mwingine, yaani ni kiroba kingine cha CCM, nawalaumu walimdanganya kuchukua fomu za kuomba nafasi na waliomuweka yaani wabunge CCM kwani hata kumsaidia kwa hoja wanashindwa na wapinzani wachache.
 
kabisa , kwa sababu huyu ndio the best kuliko wote , i mean huyu ndio wamemuona kuwa ni kichwa kuliko wanawake wengine sio?

bora wangemuweka sophia simba, maana hata ngumi anaweza mtoto wa mitaani yule pale Ilala. - ha ha ha
 
Mwanasheria hata hajui sheria, yeye kaalikwa na ni mteule wa Rais, lakini anataka kuchukua madaraka ya wawakilishi wa wananchi, tupo wengi ndugu yangu tusiojua sheria- Bado mzee wa posho mbili mbili HOSEA aje na yake.

Angesimama Waziri mkuu, Spika au Kiongozi wa upinzani ingeleta maana lakini yeye alikurupuka, na ndiyo maana wenye akili wakamwambia "Hatoki Mtu"
 
Hadi raha, ukiona hivyo ujue 'alikwina' maji ya shingo.

Mtoto akililia wembe mpe, Anne uli lilia sana uspika ukala njama na mafisadi kummwaga bosi wako wa zamani, unaona sasa moto unaokuwakia? Wale waliokusakizia lengo lao lilishatimia yaani kumtoa nishai Sitta, kinachofuata sasa akili kichwani mwako, jenga hesima yako au jivunjie heshima yako, uamuzi ni wako.
 
Uchakachuaji everywhere. hakuna kusalimika.
 
Huyu mama anamatatizo jamani tuache utani...nadhani anahitaji maombi binafsi kumuokoa....
 
Kwani lazima lema aulize? Hilo swali lake ampe mwingine. Au maswali nayo yanakaguliwa? UHURU NI KAZI.
 
Sasa hivi watu wengi wameamka kisiasa na wameshajua majukumu yao kisiasa, hali hii ndiyo inafanya ionekane kama kiti cha spika kinapwaya lakini ukweli ni kuwa hata angekuwa nani mambo yangeenda vivi hivi kwani kinachotakiwa ni kufuatwa kwa taratibu na sheria zilizowekwa ili kuliongoza bunge. Baadhi ya mabunge mengine Bunge ni eneo la kawaida la masumbwi ila bunge letu bado hatujafikia huko hivyo hakuna sababu ya kuona kuwa huyu mama hawezi.

Kazi ya kuongoza wanasiasa ni ngumu sana.

We umedandia hii thread kwa mbele au umetumwa, hakuna ugumu wowote ungekuwepo kama kanuni zingetumiwa bila ushabiki.
 
Kama dhana ya kuvua magamba ya ccm ni ya kweli basi inafaa spika makinda ajiuzuru kwa nafasi ya kuliongoza bunge.
 
Yaani ndo mbumbumbu mpaka basi, hadi atoboe twenty fifteen atakuwa amekoma!
 
hajafungwa kitambaa kweli ila magamba ya chama chake yana mzinga asione!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
..HUYU ANA MAKINDA ni bure kabisa ..nadhani ameturudisha mawazo nyuma watanzania na amewaangusha kinamama wenzake....na iferiority complex iliyomjaaa.....yaani hata kama watanzania wangekuwa wanafikiria kumpata rais mwanamke ndio basi tena ....ameyeyusha ndoto....

.......tulishaanza kuwaamini kina mama lakini yeye na Sophia Simba aliyekuwa na wizara nyeti ya usalama ,,,...wamewaangusha kina mama wenzao..

mimi haata hivi viti vya upendeleo kwenye katiba nitavipinga...naona ili kupata kinamama wenye uwezo wabunge kama tunataka kila mkoa utoe wabunge kadhaa wa viti maalum basi tuwe nao tunawapigia kura za kapu la kina mama peke yao na sio wapendekezwe na vyama......
 
mimi simpendi hata kidogo na ninasema hivyo hata piusi msekwa anaingia hapa jf asome akamwambie kuwa watanzania karibia wote awakupendi kwa jinsi unavyi endesha bunge,
 
Back
Top Bottom