sijafanya nae MAPENZI...lakini mazingira yanashitaki!!

kwahiyo unataka kumaliza kwassbb wamekusema au kwassbb unajiskia kufanya hivyo??????acha ushamba bwana,we shangashangaa uatkuta mwan c wako.halafu utabaki uanalalamika ooooo,ningejua.....................................
 
Nyie endeleeni kumpotosha .Mimi ninaishi na kijana nimemwambia siku nikigundua anatembea na h.girl wangu namuweka ndani kwa kubaka kwani ni sawa na kutembea na mtoto wangu,na nimemwambia maneno hayo mbele ya babake.
 
Angalia usiharibu future yako. Kwanza unafanya kazi gani? au ndo kula kulala???ukimpa mimba utamuoa??au ndo mtamfukuza kwenu wewe na mama yako??? Fikiria kwanza kabla ya kutenda dogo!!, Usiongozwe na tamaa!!!
 
Unapaswa umheshimu kama dada yako. pili unaonekana muoga kutongoza, na kama si muoga jitupe mtaani. usisahau dawa ya penzi.
 
Unachofanya ni sahihi kabisa, kama hujamjua mungu au hujampokea yesu kuwa bwana na mwokozi wako tafuta watumishi wa mungu wakuombee usije ukaanguka, jitunze na mungu atakutunza kwani housegirl akikuona mjinga ukaheshimika kwa mungu aliyekupa uhai na hizo nguvu wanazoshabikia uzitumie kwa h/girl kuna shida?mungu anakupenda simama imara
 
Mwambie Bi. Mkubwa wako asisikilize maneno ya watu, otherwise piga mzigo binti akikubalia provided siyo chini ya miaka 18 na hujambaka au kutumia cheo cha mtoto wa bosi kipendacho moyo..............
 
How old are u? Ndani ya siku 2 mlivyoachwa peke yenu ulitakuwa ule mzigo.
 
Dah, Mkuu Kuna Kitu Kukatikia bahati mbaya hapo sasa ndipo kasheshe linapoanza maana kila mtu anaweza kukuuliza hata yule lol!

dah!
Hilo nalo neno... Sema huwezi jua, kuna ma HG wa kibondei kutoka Tanga, ni aibu, wanaweza kuvunja ndoa hivihivi. Kwanza ni warembo, with so much care...
I wish!
 
kama analipa​piga bao wewe , unasubiri nini. Na kama muda wote huo ulikua unaangalia tu ,nakushangaa. Kung`uta.
 
mwache dada wawa2 kama hunampango nae usimwaribia maisha mwenzako, assume ingekuwa ni dada yako ungefeel vipi?
waambie hao wanaukuzushia kuwa utakuwa unatembea nae WAFUATE MAISHA YAO!
 
Angalia usiharibu future yako. Kwanza unafanya kazi gani? au ndo kula kulala???ukimpa mimba utamuoa??au ndo mtamfukuza kwenu wewe na mama yako??? Fikiria kwanza kabla ya kutenda dogo!!, Usiongozwe na tamaa!!!

Ushauri wangu soma mara mbili au tatu ..hiyo post ya Nsuri ambayo ime-quote...kuwa rijali siyo lazima uchove chove kila sehemu..!
 
Unawaza ngono tu wewe. :eyebrows:

Haina haja ya kudu na huyo HG, kuwa busy na ishu zako.

Nina wasiwasi na wewe kuna uwezekano mkubwa unakula huyo h.girl haiwezekani uwe na wivu kiasi hicho
Nyie endeleeni kumpotosha .Mimi ninaishi na kijana nimemwambia siku nikigundua anatembea na h.girl wangu namuweka ndani kwa kubaka kwani ni sawa na kutembea na mtoto wangu,na nimemwambia maneno hayo mbele ya babake.
 
Mtoto pekee wa kiume unakaa na msichana nyumba moja mnalala mnaamka miezi minne bila kugoga we butu kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom