Dah Mungu mkubwa kumbe MV Dar imepona na inapiga Kazi..... Pongezi nyingi kwa mnunuzi... Nilikuwa naumia mno nikikumbuka bilioni saba za manunuzi
catastrophe is on its way, it is a matter of 4th dimension spacetime!
Kwa picha hii kipo salama kabisa. Sioni gari hata moja ndani ya kivuko.
Huo ulikuwa uzinduzi tu, hakikusafiri.
Prophet of doomcatastrophe is on its way, it is a matter of 4th dimension spacetime!