Diesel generator
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 706
- 663
Ayo maboya yanaendana na idadi ya watumiaji Kivuko?.
Hiyo ni mv Magogoni , Mv dar marufuku iko kikosi cha mizinga. Fyatueni tu tutareplace.Dah Mungu mkubwa kumbe MV Dar imepona na inapiga Kazi..... Pongezi nyingi kwa mnunuzi... Nilikuwa naumia mno nikikumbuka bilioni saba za manunuzi
ha ha ha!angalia weeknd usije ukailia ndani kwa kutuma picha yenye maudhui ya uchochezi ngoja mwakyembe aione.
utawala huu hauruhusiwi kukoselewa.
Dah Mungu mkubwa kumbe MV Dar imepona na inapiga Kazi..... Pongezi nyingi kwa mnunuzi... Nilikuwa naumia mno nikikumbuka bilioni saba za manunuzi
na ilikuwa ni 2014 .... cheki backgroung hata TPA tower haijajengwa badoHuo ulikuwa uzinduzi tu, hakikusafiri.
kweli tunaishi kwa matukio!!ktk vivuko/meli nyingi Tanzania miaka yote hiyo ndio hali halisi,zungukia maziwa /mito yote nchini na sio kwamba wahusika hawayaoni ila punda afe mzigo ufike!!!lo ndio tunajifanya kushangaa kwa unafiki tu
kupost picha za kipindi cha mkwere ni uchochezi wa hali ya juu 😂😂😂
kupost picha za kipindi cha mkwere ni uchochezi wa hali ya juu 😂😂😂
hii picha ni ya 2014... ushahidi ni TPA tower ilikuwa haijajengwa na PSPF twin tower ndio zilikuwa kwenye ujenzi.....
siku hizi kivuko hakijazi hivyo
sijatumia mda sana ila mara ya mwisho kutumia kivuko ilikuwa kabla ya daraja halijaanza kufanya kazi... na kilikuwa hakijazi hivyo...Unataka kusema kwa sasa hawajazi kama hivyo?
sijatumia mda sana ila mara ya mwisho kutumia kivuko ilikuwa kabla ya daraja halijaanza kufanya kazi... na kilikuwa hakijazi hivyo...
huo ujazo balaa asee unaweza jiuliza hao wote humo walieneaje 😂😂😂
Hapo hakuna gari hata moja, ilikuwa kwenye uzinduzi kitu kama hicho.
So, nadhani ukijumlisha magari watu hawawi wengi hivyo. Kuna mdau kasema kinabeba watu 2,000 na magari 60.
alafu huwa viko viwili sidhani kama hiki ndio kina operate mpaka sasa hivi ...maana mara ya mwisho kutumia kivuko cha hapo magogoni hakikuwa kikubwa hivyo na hata watu walikuwa wanalalamima wanasema wamelimiss likivuko likubwa
owky....basi nahisi kipindi hicho hiki kikubwa kilikuwa service....Hicho ndo kikubwa, kidogo kinaitwa MV Kigamboni.
Vyote vinapiga kazi.