Sijaelewa Hapa

Sijaelewa Hapa

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
Sijui KCMC kirefu chake kimebadilika?

edit.gif
 
labda ni vikundi ndani ya KCMC.....sio ishu sana....sijui kwa wengine........
 
Unajua nini mkuu, wakristo hawabagui hata shule za seminari wapo waislam pia, <hapa naongea kwa chinichini wasisikie, KCMC wawe makini maana malengo ya hawa wajamaa mujahidina always huwa sio mazuri >
 
kilimanjaro CHRISTIAN medical association MUSLIMS association.

hii imekaa vizuri na itatuunganisha.
heko mkoa wa kilimanjaro kwa sababu hii ingekuwa mikoa ya kina nanihii migomo na matamko yameshaanza.
 
Mi naona iko poa tu, huo ni umoja wa waislamu wa KCMC. Iko makini.
 
Kilimanjaro Christian Medical Collage Muslim Association....hahaha, si wajenge cha kwao ndo ilo jina litakuwa vizuri...ajabu yake, wamejaa pale kcmc LAKINI ukienda kule Morogoro Muslim University (sawa tu na hiyo Christian medical collage) hakuna hata mkristo mmoja, wanabagua ile mbaya, wanataka waislam tu ndo waende pale, si cha mwanafunzi wala mhadhiri.
 
Jumuiya ya muslim university kile chuo cha Mkapa kule morogoro kuna mhadhiri hata mmoja au mwanafunzi mkristo? pateni picha hapo jamani....hata aibu tu hamna?
 
Kilimanjaro Christian Medical Collage Muslim Association....hahaha, si wajenge cha kwao ndo ilo jina litakuwa vizuri...ajabu yake, wamejaa pale kcmc LAKINI ukienda kule Morogoro Muslim University (sawa tu na hiyo Christian medical collage) hakuna hata mkristo mmoja, wanabagua ile mbaya, wanataka waislam tu ndo waende pale, si cha mwanafunzi wala mhadhiri.
Jamani tuwaache watoto wa uzao wa mama mdogo wasije andamana. Tuache kuwapa Polisi & JWTZ wetu kazi ya ziada ya kuwafanya watu wachomekee mavazi marefu.
 
Back
Top Bottom