Siipendi hii tabia

Viuno muhimu ....kuna vitu ni standard
Basi hakuna haja ya kuwalaumu wanawake endapo wanawapendea pesa tu, maana kama ninyi mnashindwa kuangalia vitu vya msingi mnaangalia viuno kwanini mnawapangia wao vya kuangalia, kila mtu apende kile anachoona kitamfaidisha yeye na nafsi yake basi
 
Basi hakuna haja ya kuwalaumu wanawake endapo wanawapendea pesa tu, maana kama ninyi mnashindwa kuangalia vitu vya msingi mnaangalia viuno kwanini mnawapangia wao vya kuangalia, kila mtu apende kile anachoona kitamfaidisha yeye na nafsi yake basi
Mama viuno ni vitu vya msingi.....nani kakwambia sio vitu vya msingi?
 
Hata pesa nazo ni vitu vya msingi bwashee sasa kwanini wanawake wakiwapendea hela mnawatukana tena
Hakuna anayewatukana ila wao wamezidi wamefanya pesa inazidi hadi Utu😆😆
 
Hakuna anayewatukana ila wao wamezidi wamefanya pesa inazidi hadi Utu
Yeah exactly ndicho ninachojaribu kusema kwamba hata ninyi mmefanya viuno na mbwembwe nyingine zote kwenye ngono ndio vya muhimu kuliko utu, maana mwanamke anaweza kuwa na sifa nyingi nzuri ila mkamuacha au mkamsaliti kisa ni gogo hajui kukata viuno, wakati tunajua kwenye hilo tendo hata bila viuno kumwaga kupo pale pale ila mnataka tu mbwembwe zisizo na msingi wala umuhimu wowote ilihali tunajua hakuna binadamu aliyekamilika kila sector
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣 Hio ngumu, wanawake wote mkitaka mpewe hela ndio mtoe penzi tasnia inageuka kuwa biashara.
 


We ni mjinga
 
Why nimuagizie wakati yy ndo alisema everything will be on me
So na mm nilikua na my budget ya usafiri and so on , kumnunulilia yy chakula haikua kwenye my budget
Wewe umekosa heshima ya kiasili hata kama huyo jamaa kazingua, ukiwa ni mwanamke ambaye umefundwa ulitakiwa utake responsibility ya makosa yake we ungemlipia tu
 
Baada ya kumaliza menu kiliendelea Nini!??
 
hivi nyinyi wamama (japo wenyewe mnajifanya bado ni wadada wkt tunajua watoto wenu mmewapeleka kulelewa na bibi zao) kwanini mkiwa wenyewe mnaagiza maji tu na labda vinywaji vingine vyepesi tu.

ila ukiskia👂👂 ni offer tu, basi utaishia kuagiza hata ambavyo haukuvifikiria. tunakomoana au ndo kupimana imani? acheni ayo mambo ya shamba bana.
 
H
Hamkupeana penzi?!!
 
Nchi kama US ukitoka date na demu basi malipo ni 50-50 mademu wa kibongo akipata Boy friend ndio anaona kama amepata ajira!

Huyo Mwanaume ndio wa level yako,kama ukibahatika ukampata wa level ya juu kidogo basi na yeye atakutema.
Mm vinaniuzi kweli yani ukimwalika tu mezani kwako ni kosa unashangaa mtu anaanza kulia njaa. yani inakuwaje bado haujala saba usiku
 
Najitegemea
Tatizo why ask me for a date and kujifanya you can afford everything wakati huwezi si bora uwe muwazi nikusaidie

We ungetoa harage lako tu na ukajihudumia mwenyewe , Mnajifanyaga mbavu za mbwa kumbe kenge tupu
 
Mwamba mwanamke hatakiwi ajue kama mwanaume umeumia, kwani hawa viumbe wakijua umeumia ndiyo wanajiona wajanja, take easy na asijue kama umeumia uone mwanamke atakavyo kosa amani kabisa
 
Asa si Bora huyo ambae,hata amelipa hio bill,ushawah kukutana anae jitutumua hata naul hana anaanza kukulili??😂😂😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…