Siipendi hii tabia

Sasa hii inahusiana vipi nakuamua kufuta namba migahawa mingi chakula kinatofautiana

Mfano mimi nipo mkoani huku huwa napenda kula wali samaki sasa kuna nilitembelea mikoa ya pwani nikakuta wenyeji wanakula wali samaki walinikaribisha nilikataa sababu nilikuwa nimeshakul pia nilikuwa nimeshazoea kula hicho chakula hivyo sikuona utofauti baadae waliniambia wanajisikia vibaya ikabidi nijilazimishe hivyo kuwalizisha nilivyoonja kijiko cha kwanza nilihisi utofauti wa chakula kile kilikuwa kitamu sana tofauti na mkoa naotoka nilikula mpaka nilimaliza chote
 
Ulete sasa sio siasa nyiingi
 
Mtoa mada alitakiwa kujisitiri na kumsitiri jamaa Yake, wote wamekutana Ni njaa Kali afu waigizaji. Tatizo nnaloliona, mmoja wao kamzidi maigizo mwenzie[emoji4]
Simtetei mwanamke ila Mwanaume kakosa ustaarabu unajua kuna watu hata huku mtaani usije ukawakaribisha atahakikisha anaenda na wewe sambamba mpaka sahani inakua nyeupe
 
Kwahyo Avatar hapo hustahili kuliwa chakula chako...
 
nimekualika, umeagiza ukipendacho, ukafakamia na wine juu, Lakini bado unalalamika?

sasa unataka upewe nin tena asee,
yaani badala ya kunishukuru kwa hicho kidogo kijana wa watu nimejibinya , unalalamika, unaumia na unazira kabisa?

hujui kwamba hiyo ni investment unatakiwa kuiheshimu? Itakusaidia ipo siku usiyoijua na utanikumbuka nakwambia tena , dunia tunapita tu.....

Sijapenda ulivyokuja kunianika na kunitangaza humu jukwaani, si ungeniambia tu papepale.
Yaani umeniblock bila sababu nakupigia na namba nyingine unajifanya hupokei, Asante nashukuru kwa yote ila ujue nimeumia.
 
Huyo alikosea sana, ilitakiwa baada ya kushiba Saa ya kulipa alipie maji amwambie mhudumu kila mtu analipa bili yake nipo na super woman na asibadili msimamo.

Tena Ndio ingependeza na ningempa na hela ya mafuta na next time mm Ndio ningemtoa out na kumhudumia vizuri na ikiwezekana kumuweka ndani tu
 
Utasikia nataka kidume mwenye gari[emoji1787][emoji3], akati baba yake toroli tu lime mshinda[emoji1787][emoji1787][emoji3]

Nyooo unadhani wote Ndio kama hao uliokutana nao [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wazee wetu wako vizuri na Ndio maana wanahakikishe na mabinti zao wawe na watu wanaojitambua
 
Kabisa asee yani mpaka saiv bado hajielewi kuwa ulikuwa mtego na amenasa! Ila tunaweza mpa lawama bure mtoa mada kumbe ni kibinti kidogo ndo kinachipukia bado hajajua maisha ni nini

[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha ni kuishi kwenye uhalisia na sio kufake ww kama unaweza kuafford sehemu fulani kuwa muwazi
Wanaume acheni hizi tabia [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoa mada ulidhani umeokota embe kwenye jangwa baada ya kuambiwa uchague sehemu yoyote kumbe unapimwa akili na ukajaa kweli kwenye MTEGO.

Na mm simtaki vilevile Ndio maana nimefuta namba yake [emoji28][emoji23][emoji23] na staki kumuona wala kumsikia
 
Ungemuonyesha jeuri kwa kuagiza chakula kingine, na ungeclear bills zote na ungetoa tip kwa mhudumu then ndo ungefuta namba yake na kumpotezea.
Ingemuuma hiyo mpk mwisho wa uhai wake.
Tatizo na wewe tegemezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama pesa ya bills hana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…