Siipendi CHADEMA

Na wewe umekuwa wa rangu gani kwa sababu yako asili naifahamu baada ya kubabuliwa umekuwaje?,kwa sababu ilikuwa saa 4 tu lakini naambiwa saa 7 hii tayari mtu kababuliwa!au kwa sababu we ni Miss?!

Rangu ndo huko mnapoagizia mabomu?....
 
Unahitaji kuwekewa beats harafu utoe single; unagani vizuri sana, I mean I.
 
Mwandishi wa thread hii ametumia lugha ile ambayo wanazuoni wanaiita "kinyume cha mambo".
 
Subiri Obama aje kuwandaa CCM kukabidhi nchi kwa CDM!! Yaani hapo ni patamu balaa!!
 


Duh ni kweli nimeamini huipendi Chadema kazana sana kutoipenda Chadema
 
We jinias haki ya mama, wale wa ukoo wa panya hawawezi kukuelewa mkuu. Hivi ndo vichwa vinavyotakiwa hapa jamvini!
 
miss strong ujue unavyozd KuBishana nao wenzako Lumumba pesa inazd
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo banaaaa!!!! Yanini kusema uongo wakati ukweli unajulikana!? Magamba hawana sera, sera zao zote ni MUFILISI hazina tija kwa Tanzania na Watanzania ndiyo maana wameamua kuiba sera za CHADEMA na kuzifanya za kwao na siyo kama unavyotaka kuudanganya umma wa Watanzania uongo wako wa mchana kweupe!!!

Na hili la CHADEMA kulazimizha usalama wa mafisadi kuripoti CHADEMA nalo ni uongo wa hali ya juu!!! Usiwe mzushi wa kuandika vitu ambavyo huna ushahidi hata chembe wa kuthibitisha kile ulichoandika. Mungu hapendi waongo na wazushi siku nyingine ukitaka kuandika uongo japo ulete hata ushahidi wa kubabiababia ili uzuge wanaozugika. Kwa taarifa yako usalama wa mafisadi unatumika kwa kila hali ili kuidhibiti CHADEMA ambayo inazidi kupanda chart katika mioyo ya Watanzania.

 
Aliyetaka kukubaka, teh teh teh, jumatatu takuja kukutembelea chuo posta.

Teh teh teh teh.....usinichafulie mkuu wa chuo changu bhana.
Posta ndo kuna vyuo hivyo?umekaririshwa.....shauri yako.
 
ukweli uko wazi ..kwa mambo wanayofanya CHADEMA ni ukweli mtupu ndo maana ccm wanajitahidi kuuficha ukweli huo wanajikuta WAMEFELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…