Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.
1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.
Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.
Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.
2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.
Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.
3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c
4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.
5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.
Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
Huwezi kuongozwa na heche then ukawa na sumu mfukoni ya kumuuwa zito halafu akiri yako ikafanya kazi vizuri.Hebu nifafanulie hapo kwenye "akiri" au ndo madhara ya elimu chini ya serikali ya ccm..!??
Kwani aliesema kuna vyama vinaunga mkono ushoga akipingwa vikali pamoja na magamba alieguswa nani,kama haikuwagusa mling'aka ya nini,mtataga tu mwaka huuYamekugusa eti ee!
Yupi yule wa Chadema mitandaoni?Hivi yule Balali wa twitter mmeshamalizana nae nini!?? maana yuko kimya.. au mlishatuma vijana wa kazi wakamzamishe kwenye kisima afu uchunguzi uendelee...!??
Naona unatisha kujamba wakati unahara,yule dogo alietoka masjid alipigwa risasi na nani,vp mwangosi,dr.ulimboka,vp kule arumeru mlipo chinja mtu,rev.mushi nae umesahau..Mtataga tu mwaka huu tulia hapohapo dawa inaingia fish...
Mkurugenzi wa sumu na mabomu wilfred lwakatareMsemaji mkuu wa CCM bwana Paul Chagonja anazo taarifa kamili. Ukishindwa mwone mkurugenzi wa ulinzi wa CCM bwana Saidi Mwema
Mkuu malizia kwanza dawa zako ndipo uje tena.Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.
1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.
Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.
Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.
2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.
Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.
3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c
4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.
5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.
Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
Sio akiri,sema akili,mnatupa shida sana nyie vilaza,shule umetaga bado unataka kutaga kiliberal...Huwezi kuongozwa na heche then ukawa na sumu mfukoni ya kumuuwa zito halafu akiri yako ikafanya kazi vizuri.
Samahani, una sumu hapo mfukoni?Kwani aliesema kuna vyama vinaunga mkono ushoga akipingwa vikali pamoja na magamba alieguswa nani,kama haikuwagusa mling'aka ya nini,mtataga tu mwaka huu
Una bomu hapo??Na hakuna akili timamu inayoweza kuandika upum.bavu kama ulioandika wewe Jicho
Nchemba kasema atakutumia hela kwa M-Pesa ukanunue,embu mcheki hewani kwa sasa..Samahani, una sumu hapo mfukoni?
Wana kawaida ya kutoroka hospitali na kukatisha dozi hawaMkuu malizia kwanza dawa zako ndipo uje tena.
CHADEMA ndiyo wamewamaliza kabisa kwa maandamano, vurugu na bakuli za michango huku wao wanapaa na helikopta
Kama unakubali kuwa mmewamwagia watu tindikali na kujilipua wenyewe kwa mabomu, mnashindwa nini kumuua MWANGOSI, KUMTESA ULIMBOKA na KIBANDA? Lengo si serikali ionekane inahusika? Mkuu watanzania wakanja sana, wameshawashtukia CDM hamna pa kujificha tena
Chagonja kasema mzigo bado haujapakuliwa bandarini,watasambaza kwa ma-RPC wote..Una bomu hapo??
Ndio lwakatare anavyowatumiaga nyie vijana wake?? Ona alivyomtosa ludo saivi anaozea jela mtoto wa watu, ona kilewo anavyoteseka sasa. Say no to tindikali na sumuNchemba kasema atakutumia hela kwa M-Pesa ukanunue,embu mcheki hewani kwa sasa..
Hapa ndipo unapoonyesha udhaifu wako wa kutambua mambo...Mbona mwenyekiti wako akili yake ndogo anaongoza watu wenye phd na maprf.
Una bomu hapo??