chadema hawafai kabisa wameongoza nchi tokea uhuru na sera zao feki ila upinzani chini ya mwigulu umefuchua maovu mengi
yaani umekaa umekosa hela ya kwenda kunywa ULANZI umekosa,umeona bora uandike huu uharo ulete hapa JF. P.UM.BA.V.U sana.Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha. Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo. 1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama. Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii. Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi. 2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM. Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm. 3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM. Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani. Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c 4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema. 5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM. Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala. Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana. Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
Kitu cha Arusha
Umekosea mwaka,kipindi iko Gavana ni Mzee Mtei na karani Mbowe na majengo yakaungua baada ya kukwapua hazina ya taifa.Ni kweli, chadema pia ilikwapua pesa pale B.o.T! Mwaka 2005 ili kumsaidia mgombea wao wa urais!
......Umesomeka mkuu.......ila nina wasiwasi na mrejesho ya wale walio kwenye zile orodha....utawajua tu.....:clap2:Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.
1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.
Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.
Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.
2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.
Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.
3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c
4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.
5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.
Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
yaani umekaa umekosa hela ya kwenda kunywa ULANZI umekosa,umeona bora uandike huu uharo ulete hapa JF. P.UM.BA.V.U sana.
Unapigania haki za watu kwa kuwamwagia tindikali na kuwalipua kwa mabomu,unajitekenya na kucheka mwenyewe.Ukipigania haki za wananchi na taifa kwa ujumla umekuwa mwanaharakati,naona mmeshikwa pabaya,tulia dawa iingie utataga tu mwaka huu...
Umekosea mwaka,kipindi iko Gavana ni Mzee Mtei na karani Mbowe na majengo yakaungua baada ya kukwapua hazina ya taifa.
Tena ukome na kwambia..,sio maneno yangu bali kambi ya maliberal bungeni ukiungwa mkono na ******,haki sawa iliguswahivi CHADEMA mnafikiri mnaweza kuwabambikiza CUF ushoga wenu kirahisi hivyo? WENJE Mwenyewe aliyesema ushoga bungeni ni shoga na ukitaka kuthibitisha hilo miulize BONDIA MADA MAUGO kama utaweza kumpata.
Kitu cha Arusha
Hii ni akili ndogo ndiyo inaweza kuandika ujinga huuNarudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.
1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.
Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.
Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.
2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.
Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.
3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c
4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.
5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.
Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
Unajua kupagawa wewe mbona unajitukana hovyo,huwezi kuwa na sumu mfukoni halafu akiri ikawa nzuri pia haiwezekani.Mtu akiwagusa tu na ukweli kidogo tu mnavyopagawa...!!
Mkuu kuna vifaa maalum vimeshaingia nchini kwa ahili ya kupasua HELMET kwa hiyo haisaidii,kubwa ni wewe kuachana na ukuda tu!
CHADEMA ndiyo wamewamaliza kabisa kwa maandamano, vurugu na bakuli za michango huku wao wanapaa na helikoptaCCm hawatakisahau kamwe, Umoja, mshikamano na zaid ukweli kwamba watu waarusha wanaichukia ccm kwa
kuukumbatia ufisadi na kushusha elimu na afya ya watanzania kuwa taabani kabisa.
Yamekugusa eti ee!Tena ukome na kwambia..,sio maneno yangu bali kambi ya maliberal bungeni ukiungwa mkono na ******,haki sawa iliguswa
Naona unatisha kujamba wakati unahara,yule dogo alietoka masjid alipigwa risasi na nani,vp mwangosi,dr.ulimboka,vp kule arumeru mlipo chinja mtu,rev.mushi nae umesahau..Mtataga tu mwaka huu tulia hapohapo dawa inaingia fish...Unapigania haki za watu kwa kuwamwagia tindikali na kuwalipua kwa mabomu,unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Unajua kupagawa wewe mbona unajitukana hovyo,huwezi kuwa na sumu mfukoni halafu akiri ikawa nzuri pia haiwezekani.