Siipendi CHADEMA, naichukia CCM na Wanasiasa

MADABADA

Member
Apr 1, 2012
31
5
Matatizo mengi duniani yanasababishwa na siasa na wanasiasa kama ilivyo hapa Tanzania.Ni kwa sababu hii ndo maana siamini ktk siasa.Naichukia sana CDM na siipendi kabisa CCM.Anayeweza kunishawishi kwa vigezo thabiti kwamba CCM ama CDM ndo suluhu ya matatizo yetu nchini na afanye hivyo sasa
 
Mwenye macho haambiwai tizama!
Nijukumu lako kama umebahatika kuwa na upeo wa kuelewa na kutambua.
Maamuzi yako yataheshimika daima japo yanaweza kuwa maamuzi ya kuendelea kukudidimiza na kukupoteza kabisa katika stahiki zako kama mtanzania.
Lakuvunda halina ubani, plole!!
 
Wewe ni mmoja wa wanaodhulumu nafsi zao kwa kuzikosesha haki zao za msingi! Kwa taarifa yako siasa ndiyo itakayoamua mustakabali wa maisha yako ya baadaye!
 
Panda juu ya mlima angalia chini utaona maajabu ya mungu ndo utakapoona ukweli halisi ndipo utachukua hatua daima kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
 
Hujui kuwa maisha yako yamekuwa tied na politics and politicians,elewa mambo kwa kina mkuu...usiwe na mawazo na akili ndogo kama wanaccm
 
Matatizo mengi duniani yanasababishwa na siasa na wanasiasa kama ilivyo hapa Tanzania.Ni kwa sababu hii ndo maana siamini ktk siasa.Naichukia sana CDM na siipendi kabisa CCM.Anayeweza kunishawishi kwa vigezo thabiti kwamba CCM ama CDM ndo suluhu ya matatizo yetu nchini na afanye hivyo sasa

Uzuri kuna CUF au NCCR... Party Politics sio lazima Upende kila kitu hicho chama kinapendekeza... Unachagua VITU VIWILI kwenye AGENDA zao unazoziona zinakufaa... Sio lazima Uwe Unapeperusha Bendera zao au kuwapigia Makofi hao VIONGOZI

Ni Vigumu kukuambia kati ya CCM na CDM ni VIGEZO gani Uvipende wakati haujasema ni Kwanini Hauvipendi...
 
Usipende kuwa na ndoa za mitala, kuwa na ndoa moja tu
 
nijuavyo mm hakuna adui wa asili huwa marafiki mwisho uadui maisa yetu binadamu ni siasa sema mleta habari anapima tu watu humu ndani yani vyama hapa bongo vipo vingi yeye ameona tu maccm na chaguo la mungu cdm rudi kajiandae
 
Matatizo mengi duniani yanasababishwa na siasa na wanasiasa kama ilivyo hapa Tanzania.Ni kwa sababu hii ndo maana siamini ktk siasa.Naichukia sana CDM na siipendi kabisa CCM.Anayeweza kunishawishi kwa vigezo thabiti kwamba CCM ama CDM ndo suluhu ya matatizo yetu nchini na afanye hivyo sasa

wewe lazima utakuwa #TeamBK7 .
 
Back
Top Bottom