Siielewi mitaro ya optic fiber

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Kama caption inavyoeleza...

Kumekuwa na chimba chimba za mitaro kwa ajili ya kupitishia optic fiber cables..sasa cha kushangaza mitaro hii imekuwa na ruka ruka za hapa na pale...yani unakuta mtaro hafifu unachimbwa sehem then wanaruka wanaendelea mbele baada ya hatua chache au mita chache hivi....

Sasa wajuzi wa mambo mtuambie kama kuna jipu litumbuliwe..... hizi ruka ruka maana yake nini...hizo 4G zitapitaje kwenye haya maeneo waliyoruka... Au kuna-uchawi gani kwenye hizi optic fiber mpaka kuweza kupita kwenye hayo maeneo waliyoruka.
 
Ukiona ruka ruka kuna miundombinu mengine hapo.Hawaezi chimbua.Yaeza kua simu au umeme.Na pamoja hawawezi kueka mana kuna noisy.
 
Back
Top Bottom