Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,645
Tatizo hamsalimii watu,ningewaambia kipo wap Iko kijijiMkoa Gani, Wilaya, Kijiji
Si ndio πππChapati city
πππUkitaka kuzifaidi hizi, ushuke na ndege mchana hapo Dar es salaam.
Yeah Iko ivyoπ€ͺHujasoma habari za Ruto kuhusu chapati?
Alisema ataleta mashine ya kutengeneza chapo 1m kwa siku
Naona wakenya wanamkebehi au sio
unawaza mvua badala uwaze chai..π€£Hapo ikishuka mvua mambo yashaharibika
Kenzy sijui huwa unawaza nini aisee nimebaki nacheka tu hapa.unawaza mvua badala uwaze chai..π€£
mkuu mimi sina akili mnemba kama wengi wa members humu!..πKenzy sijui huwa unawaza nini aisee nimebaki nacheka tu hapa.
Kwa i yupo aliyekuambia uhamie Burundi?Sihami TANZANIAView attachment 3283875 kabisaa πππππ
Chai ishukie wapi sasa hapo?unawaza mvua badala uwaze chai..π€£
ndo maana nakupendagaChai ishukie wapi sasa hapo?
Basi tufanye iwe supu π