Significant activity at Iran long-range missile sites. Retaliation against Israel imminent

Significant activity at Iran long-range missile sites. Retaliation against Israel imminent

We mjinga Ubalozi ni nchi, kwa hio pale ni sawa na Irani imeshambuliwa ndani ya nchi yake, hivyo ana haki ya kujilinda. Pia msishabikie sana hivi vita, vikianza huku Africa tutaumia kwa kiwango ambacho hatukuwahi kukiona. kwa sasa tuendelee kujitoa ufahamu tu
Iran haohao mwaka 1979 waliwahi kuwashikilia mateka wafanyakazi zaidi ya 100 wa ubalozi wa Marekani nchini Iran kwa zaidi ya siku mia moja sasa sijui huo ubalozi wa Marekani wenyewe haikuwa nchi, unaweza ukatuambia.
 
Yaani Russia hii ambayo inategemea wataalam wenye asili ya Israel ktk fani mbalimbali ndio waungane na Iran kuishambulia tena Israel.

Labda Russia ya Kilwa Kivinje.
Mbona waliungana na Iran huko Syria? Unadhani bila Russia hao Israel wangemuacha Assad?
 
Yaani Russia hii ambayo inategemea wataalam wenye asili ya Israel ktk fani mbalimbali ndio waungane na Iran kuishambulia tena Israel.

Labda Russia ya Kilwa Kivinje.
Ebu tutajie hao wataalamu wenye asili ya Israel wanao tegemewa na Urusi,acheni propaganda za kipumbavu.
 
Ebu tutajie hao wataalamu wenye asili ya Israel wanao tegemewa na Urusi,acheni propaganda za kipumbavu.
Alexander Gelfond, mathematician[58]
Semyon Aranovich Gershgorin, mathematician
Victor Kac, mathematician
David Kazhdan, mathematician
Aleksandr Khinchin, mathematician
Mark Krasnoselsky, mathematician
Mark Krein, mathematician,
Alexander Kronrod, mathematician
Yevgeniy Landis, mathematician
Solomon Lefschetz, mathematician
Vladimir Levenshtein, mathematician
Leonid Levin, mathematician, computational complexity theory
Jacob Levitzki, Ukrainian-Israeli mathematician
Grigory Margulis, mathematician, Fields Medal (1978)
David Milman, mathematician
Hermann Minkowski, mathematician[112]
Mark Naimark, mathematician
Grigori Perelman, mathematician
Vladimir Rokhlin, mathematician
Jakob Rosanes, mathematician
Lev Schnirelmann, mathematician
Zvi Hermann Schapira, mathematician
Moses Schönfinkel, logician
Samuil Shatunovsky, mathematician
Yakov G. Sinai, applied mathematician
Alexander Tetelbaum, applied mathematician
Boris Tsirelson, mathematician
Pavel Urysohn, mathematician
Boris Weisfeiler, mathematician
Victor Zalgaller, mathematician
Oscar Zariski, mathematician
Efim Zelmanov, mathematician, Fields Medal (1994)
Social scientists and philosophers
edit
Urie Bronfenbrenner, developmental psychologist
Solomon Buber, Hebraist[113]
Ariel Durant, historian
Boris Eichenbaum, historian
Mikhail Epstein, literary theorist
Moshe Feldenkrais, inventor of the Feldenkrais method
Alexander Gerschenkron, economic historian
Jean Gottmann, geographer[114]
Lazar Gulkowitsch, Jewish Studies scholar
Abraham Harkavy, historian
Zellig Harris, linguist
Roman Jakobson, Russian/American linguist
Naum Krasner, economist.

NB: Nimefupisha tu orodha ni ndefu sana wako zaidi ya watu 1,000...!!!
 
Ebu tutajie hao wataalamu wenye asili ya Israel wanao tegemewa na Urusi,acheni propaganda za kipumbavu.
Natural scientists
edit
Anatole Abragam, physicist
Alexei Alexeyevich Abrikosov, physicist, Nobel Prize (2003)[84]
Zhores Alferov, physicist, Nobel Prize (2000)[85]
Aleksander Akhiezer, physicist[1]
Semen Altshuler, physicist[1]
Lev Artsimovich, physicist (Jewish mother)
Gersh Budker, nuclear physicist[86]
Matvei Bronstein, theoretical physicist[53]
Ilya Frank, physicist, Nobel Prize (1958)[87]
Yakov Frenkel, physicist[88]
Vitaly Ginzburg, physicist, Nobel Prize (2003)[89]
Emanuel Goldberg (1881–1970), pioneered Microdots and microfilm retrieval technology[90]
Alexander Gorodnitsky, geologist and oceanographer, Soviet and Russian bard and poet
Vladimir Gribov, physicist[91]
Mikhail Gurevich, co-founder of the Mikoyan Gurevich (MiG) aircraft design bureau[92]
Waldemar Haffkine, biologist, vaccine against cholera and plague[93]
Boris Hessen, physicist[94]
Naum Idelson, astronomer[95]
Abram Ioffe, nuclear scientist[96]
Vladimir Keilis-Borok, physicist[97]
Isaak Khalatnikov, physicist[10]
Yuli Khariton, physicist[98]
Semyon Kosberg, engineer[99]
Lev Landau, physicist, Nobel Prize (1962)[100]
Grigory Landsberg, physicist[101]
Semyon Lavochkin, engineer[92][101]
Veniamin Levich, electrochemist[102]
Evgeny Lifshitz, physicist[101]
Leonid Mandelstam, physicist
Alexander Migdal, physicist[14]
Arkady Migdal, physicist[14]
Lev Pitaevskii, physicist[103]
Boris Podolsky, physicist[103]
Alexander Polyakov, physicist[103]
Isaak Pomeranchuk, physicist[103]
Grigory Abramovich Shajn, astronomer[18]
Mikhail Shifman, physicist
Iosif Shklovsky, astrophysicist, astronomer, biologist[18]
Alexander Tropsha, chemist
Vladimir Veksler, physicist[42]
Alexander Vilenkin, cosmologist[104]
Selman Waksman, biochemist, Nobel Prize (1952)[105]
Sorojon Yusufova, geologist[106]
Yakov Zel'dovich, astrophysicist[

NB: Orodha bado inaendelea ni ndefu sana na ni utitiri wa wataalam nguli ktk fani mbalimbali.


Na Marekani ndio wamejaa sasa Russia ni cha mtoto. Hizo teknolojia za kutengenezea makombora (Missile Systems) na hata za kuzuia makombora (Air Defence Systems) wao ndio waliofundisha watu namna ya kuzitengeneza na tekinolojia nyingine nyingi.
 
Mbona waliungana na Iran huko Syria? Unadhani bila Russia hao Israel wangemuacha Assad?
Kwa taarifa yako Israel hawana kabisa shida na utawala wa Asaad kwa sababu hauwanyimi usingizi ambao hawamtaki Asaad ni nchi za magharibi.
 
Israel haina uwezo wa kurusha ndege ndani ya anga la Iran kwa sababu ya umbali acha kurahisisha mambo.
Mkuu kama Israel hataweza kwa sababu ya umbali, ni sawa kusema Iran pia hataweza kwa sababu ya huo huo umbali?
 
Kuuawa kwa makamanda ya jeshi la Iran sio ishu kubwa kwa sababu inajulikana kuwa Israel na Iran wako kwenye vita vya kiintegensia.

Lakini kitendo cha kushambulia jengo la ubalozi ni uchokozi wa kiwango cha juu sana.
Huu mchongo umetengenezwa na USA hata wale wa chakula cha msaada hao hao USA wameruhusu ili tu liwe onyo wapalestina wasipate msaada
 
Kwangu mimi mambonyote yapo kwenye ratiba za Mungu
Very on schedule .
 
Hii issue Iran wakitumia mihemko wanaenda kuharibu nchi yao, nchi yao nzuri itabaki Magodi na uwanja wa magaidi, Israel hajapiga eneo hilo kwa bahati mbaya, na anajua response yake, kuna watu wanajitoa ufahamu na kuichukulia Israel poa kama nchi yenye uwezo mdogo sana kiuchumi na kijeshi, wamesahau kubwa Israel ana nyuklia,pia ni nchi yenye mifumo kizuri ya kujikinga na makombora long range missiles, Arrow 3 ni sawa na S400 , ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na mifumo ya kudungua makombora baada ya Rusia. Wanaichukulia poa lakini inaenda kuishangaza dunia kwa mara nyingi , utasikia vita ya siku 3. Je Iran ana mifumo ya anga ambayo itaweza kuzuia ndege za Israel zisiingie kwenye anga la Iran? Israel ndio mwanzilishi wa drone , mataifa yote duniani yamejifunza kwa Israel kutengeneza drone.
Acha vitisho wewe mlokole. Hezbollah tu hapo Lebanon anamjambisha kila siku anabweka tu itakua Iran?
 
Kwa taarifa yako Israel hawana kabisa shida na utawala wa Asaad kwa sababu hauwanyimi usingizi ambao hawamtaki Asaad ni nchi za magharibi.
Sio kweli, Israel miaka yote ni adui wa Syria. Hata kwenye hii vita Israel amepiga sana makombora miji mikubwa ya Syria. Tatizo lilikuja baada ya Iran na Russia kuingiza miguu hapo Damascus. So technically Israel na US wamefeli kuichukua Syria. So hata leo Russia ikilipa fadhila kwa iran, lazima yajirudie ya Syria.
 
Hii issue Iran wakitumia mihemko wanaenda kuharibu nchi yao, nchi yao nzuri itabaki Magodi na uwanja wa magaidi, Israel hajapiga eneo hilo kwa bahati mbaya, na anajua response yake, kuna watu wanajitoa ufahamu na kuichukulia Israel poa kama nchi yenye uwezo mdogo sana kiuchumi na kijeshi, wamesahau kubwa Israel ana nyuklia,pia ni nchi yenye mifumo kizuri ya kujikinga na makombora long range missiles, Arrow 3 ni sawa na S400 , ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na mifumo ya kudungua makombora baada ya Rusia. Wanaichukulia poa lakini inaenda kuishangaza dunia kwa mara nyingi , utasikia vita ya siku 3. Je Iran ana mifumo ya anga ambayo itaweza kuzuia ndege za Israel zisiingie kwenye anga la Iran? Israel ndio mwanzilishi wa drone , mataifa yote duniani yamejifunza kwa Israel kutengeneza drone.
Mbona walimshindwa Syria? Si kisa back up ya Iran na Russia. Israel kama imechukua almost miezi 7 kupambana na Hamas ndio sembuse Iran?
 
Kwa taarifa yako Israel hawana kabisa shida na utawala wa Asaad kwa sababu hauwanyimi usingizi ambao hawamtaki Asaad ni nchi za magharibi.
Unajua mabomu mangapi Israel alikua anapiga Syria kabla Russia haijaingiza mguu?
 
Kuuawa kwa makamanda ya jeshi la Iran sio ishu kubwa kwa sababu inajulikana kuwa Israel na Iran wako kwenye vita vya kiintegensia.

Lakini kitendo cha kushambulia jengo la ubalozi ni uchokozi wa kiwango cha juu sana.
Hatua gani waliochukua Iran mpaka sasa against Israel?
 
Back
Top Bottom