Significant activity at Iran long-range missile sites. Retaliation against Israel imminent

Aaah! waapi.
1. Mrusi ameshanyong'onyeshwa na vita ya Ukraine. Kwa hiyo yuko choka mbaya hana hamu na kupanua wigo wa mapambano eti kumsaidia Mwarabu ambaye hakumsaidia wakati wa kupambana na Ukraine.
2. Hapo umesema ".....na China hawatakaa kimya,they will fight on the side of China. Au ulimaanisha Urusi? Kama ni Urusi ,China hatakuwa tayari directly, kwa sababu ana jambo lake na Taiwan.
3. Sio kweli kwamba Satan(Shetani/Ibilisi) ndiye aliyeiumba Marekani.
Hiyo chain inaleta kigagasi yan kila anayefikiri kujitumbukiza, akiangalia pembeni yake anaona akifanya hivo atakuwa amefungua mlango kwa adui aliye karibu zaidi.
Westerners wana more advantage over Arab countries in the sense that Arab countries sio waaminifu kwa kauli zao, ni vigeugeu na umoja wao sio imara kivile.
Don't underestimate the power of Satan to gather nation's for war.Wewe unatumia mawazo yako kufikiri,lakini kumbuka kinachotokea kipo kwenye spiritual realm,sio physical realm.
Soma Ufunuo 16:13-14.It is Satan who gathers nation's for war,it is not their will.

Ufunuo wa Yohana 16:13-14
13 Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
14 Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.
 
OK; Ni kweli Shetani ana nguvu lakini kama Mungu akiamua kwa upendo wake usiopimika kwetu ss wanadamu ambao kwa upendo huo alituumba kwa sura na mfano wake, hatamruhusu yule mwovu atudhuru kiasi hicho; rejea Isaya 49: 15-16. hayo maneno yametamkwa na Mungu kwa kupitia kinywa cha nabii Isaya. Halafu tena Je, Mungu ni mwanadamu hata aseme uongo? Hesabu 29: 19 :4Shrug:
 
Upendo wa Mungu kwako upo tu kama unatimiza mapenzi Yake,kama hutimizi mapenzi Yake sahau upendo Wake,simply forget.Soma Ufunuo 6,9,13,15 na 16,19 uone jinsi Mungu atakavyo-unleash ghadhabu Yake juu ya wote wenye mwili waipingao Kweli Yake kwa uovu katika siku za mwisho.Mkuu tengeneza maisha yako sasa,ili Mungu aweze kukulinda atakapo shusha hasira yake juu ya wote wenye mwili waipingao Kweli kwa uovu.
 
Ila waisrael/wayahudi inawabidi wapige mahesabu marefu sana. Kwa sababu dunia inapoelekea inabadilika. Wasidhani wanaowakingia kifua kwa sasa bado wataendelea kuwa na msuli ulele.

Nilidhani kwa mkasa uliyowakumba miaka ya nyuma pengine wangelikuwa mabalozi wazuri wa amani duniani lakini mambo ni tofauti.

Si kwa lengo baya! Ila kwa sasa ndiyo napata taswira kwa nini miaka ya nyuma walikuwa wanafanyiwa mambo ya mauwaji.
Hawa jamaa wana entitlement sana, wanaona wao pekee ndio wanastahili kuishi kwa amani ila wengine wote wawe kwenye migogoro isiyoisha.

Ila siku Iran akipata back up ya Russia kama Syria basi Israel inaweza kuwa kwenye mtihani mkubwa sana.
 
Marekani ilikua ikitumia tankers kujaza mafuta Bombers zake kama B-2 na F-117, zilikua zinyanyuka US moja kwa moja inaenda Iraq kushusha mabomu then inarudi tena US.
Leta ushahidi.
 
Iran amejiweka Syria ili kuitumia ardhi ya nchi hiyo kuihujumu Israel ikiwa ni pamoja na kuwafadhili magaidi mbalimbali ili kuihujumu Israel.

Hivyo kitendo cha Israel kuishambulia jengo la ubalozi wa Iran nchini Syria ilikuwa ni halali na ni njia ya Israel kujihami dhidi ya hujuma hizo za Iran.

Sasa endapo Iran itajichanganya na kuishambulia Israel basi huenda ikawa mwanzo wa mgogoro mkubwa katika eneo la mashariki ya kati ambao unaweza kupelekea kung'olewa kwa utawala wa kiimla wa mahayatollah nchini Iran.
Ndio lilikuwa SoMo la Leo kanisani?
 
Hii issue Iran wakitumia mihemko wanaenda kuharibu nchi yao, nchi yao nzuri itabaki Magodi na uwanja wa magaidi, Israel hajapiga eneo hilo kwa bahati mbaya, na anajua response yake, kuna watu wanajitoa ufahamu na kuichukulia Israel poa kama nchi yenye uwezo mdogo sana kiuchumi na kijeshi, wamesahau kubwa Israel ana nyuklia,pia ni nchi yenye mifumo kizuri ya kujikinga na makombora long range missiles, Arrow 3 ni sawa na S400 , ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na mifumo ya kudungua makombora baada ya Rusia. Wanaichukulia poa lakini inaenda kuishangaza dunia kwa mara nyingi , utasikia vita ya siku 3. Je Iran ana mifumo ya anga ambayo itaweza kuzuia ndege za Israel zisiingie kwenye anga la Iran? Israel ndio mwanzilishi wa drone , mataifa yote duniani yamejifunza kwa Israel kutengeneza drone.
Umeeleweka baba mchungaji
 
(In the message, Iran warns the US against interfering in Iran's response to Israel following the bombing of the Iranian Embassy compound in Syria.)

Iran waache uwoga, kwani hao U S wakiingilia si wawakande nawao.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mi huwa nashangaa Hawa madikteta wanaonya watu eti wasiingilie ...

Kama unapiga wewe piga yeyote...kumbuka Putin naye alipiga mikwala Kama hii ya leo kilichotokea wote tumeona
 
Hakuna ishu yeyote inayo weza kuhalalisha mashambulizi ambayo yamekuwa yakifanywa na Israel dhidi ya maafisa wa Iran
Magaidi wote wa mashariki ya kati kama Hamas, iSIS, Hezbollah, Houthi, nk wanalelewa na kufadhiliwa na Iran, na hii ndo inahalalisha mashambulizi ya Israel kwa Iran. Huwezi kuondoa magugu kwa kufyeka majani tu, lazima ung'oe mizizi
 
Don't underestimate the power of Satan to gather nation's for war.Wewe unatumia mawazo yako kufikiri,lakini kumbuka kinachotokea kipo kwenye spiritual realm,sio physical realm.
Soma Ufunuo 16:13-14.It is Satan who gathers nation's for war,it is not their will.

Ufunuo wa Yohana 16:13-14
13 Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
14 Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.
Yaani mkishaanzaga kuweka mavifungu ya vitabu vyenu ndipo uhalisia wa andiko lako unapotea..

Imagine hii dunia imeshuhudia Vita kubwa kabisa mbili lakini mwisho haukufika.
 
Hicho ni kipindi kifupi sana mbele za Mungu,less than a second.Kwa Mungu one day is equivalent to a thound years!!!!
Laiti ungejua huyo Mungu unayedhani hayupo,ndiye ambaye uhai wako upo mikononi Mwake!Very stupid indeed.

Mwisho naomba ujue kwamba everything you see has a spiritual beginning and only manifects itself in the physical realm.
 
Magaidi wote wa mashariki ya kati kama Hamas, iSIS, Hezbollah, Houthi, nk wanalelewa na kufadhiliwa na Iran, na hii ndo inahalalisha mashambulizi ya Israel kwa Iran. Huwezi kuondoa magugu kwa kufyeka majani tu, lazima ung'oe mizizi
Aisee kweli usichokijua ni usiku wa gazi.Laiti ungejua vikundi vyote vya kigaidi mwanzilishi Mkuu ni Marekani.Wake up,mmelala mno.
 
Hicho ni kipindi kifupi sana mbele za Mungu,less than a second.Kwa Mungu one day is equivalent to a thound years!!!!
Laiti ungejua huyo Mungu unayedhani hayupo,ndiye ambaye uhai wako upo mikononi Mwake!Very stupid indeed.

Mwisho naomba ujue kwamba everything you see has a spiritual beginning and only manifects itself in the physical realm.

Hicho ni kipindi kifupi sana mbele za Mungu,less than a second.Kwa Mungu one day is equivalent to a thound years!!!!
Laiti ungejua huyo Mungu unayedhani hayupo,ndiye ambaye uhai wako upo mikononi Mwake!Very stupid indeed.

Mwisho naomba ujue kwamba everything you see has a spiritual beginning and only manifects itself in the physical realm.
I'm not an atheist bro I believe in God ...there are so many scriptures out there why niamini kitabu chako wewe na si vitabu vingine

Kwani hapa duniani Kuna dini ngapi? Hata wakristo wenyewe wanapingana to some extent sembuse dini moja na dini nyingine?
Mimi na wewe hatukuwepo kipindi Vita ya Kwanza na ya pili inatokea na kabla hazijatokea kulikuwa na mivutano Kama hii je wakristo wa enzi hizo walichambuaje hayo matukio wakilinganisha na hivyo vitabu ulivyotaja?

They went through those wars and at the end still the world exists
 
Mkuu sina kitabu changu,ni Neno la Mungu,mimi nashuhudia tu.
 
Aisee kweli usichokijua ni usiku wa gazi.Laiti ungejua vikundi vyote vya kigaidi mwanzilishi Mkuu ni Marekani.Wake up,mmelala mno.
Hahaha
Propaganda zingine.. Utoto raha sana!
Kwa hiyo US anapigana na kikundi chake cha magaidi Houthi pale Red Sea?
Na ni kwanini aanzishe USA halafu ufadhili wote anafanya Iran tu? Zinduka usingizini broo
 
Hivi kwa akili zako unaona wanawapiga kweli,mbona yale ni maigizo.Kweli wajinga ndio waliwao.
 
Hawa jamaa wana entitlement sana, wanaona wao pekee ndio wanastahili kuishi kwa amani ila wengine wote wawe kwenye migogoro isiyoisha.

Ila siku Iran akipata back up ya Russia kama Syria basi Israel inaweza kuwa kwenye mtihani mkubwa sana.
Yaani Russia hii ambayo inategemea wataalam wenye asili ya Israel ktk fani mbalimbali ndio waungane na Iran kuishambulia tena Israel.

Labda Russia ya Kilwa Kivinje.
 
Aisee kweli usichokijua ni usiku wa gazi.Laiti ungejua vikundi vyote vya kigaidi mwanzilishi Mkuu ni Marekani.Wake up,mmelala mno.
Ingekuwa mwanzilishi ni Marekani basi magaidi leo wasingekuwa waislam labda wangekuwa wakristo na wapagani. Hivyo dunia nzima inaelewa kwamba sio kila muislamu ni gaidi lakini kila gaidi ni muislam.
 
Back
Top Bottom