Significant activity at Iran long-range missile sites. Retaliation against Israel imminent

Kwani zile aerial refueling plane hua zina kazi gani?!
Kitendo hicho tiyari kinapunguza ufanisi kwa sababu aina hiyo ya mashambulizi yanatumia gharama kubwa sana na mara nyingi huwa yanafanikiwa ikiwa ni shambulizi la kushutukiza na sio kwenye vita ya moja kwa moja.
 
Hiyo unasema ww. Ingekua hivyo hizi nchi kubwa zote zingeacha kutengeneza hizo aerial refueling planes kuanzia US, Russia, China, India, France, nk
 
Mkuu sasa unacho bisha nini mbona kitu kiko wazi?
Hiyo kitu kwenye vita ya moja kwamoja ni kuwatoa mhanga marubani wako na ndege zako na hiyo vita utoweza kutoboa hata mwezi na ndio maana tangu kumalizika kwa vita ya dunia hakuna nchi ambayo ilisha tumia njia hii kupigana vita ya moja kwa moja kama ipo itaje.

Vita kati ya Iran na Israel kitakacho tumika hasa ni makombora ya masafa marefu na sio ndege.
 
Ndege zingekua hazina kazi bhas Urusi angeacha kuzitumia pale ukraine angekua anarusha makombora tu mwanzo mwisho.

Unatoa kafara marubani je unajua route ambayo hizo ndege itatumia?! Je Air defense zako zinaweza fikia mahali zilipo hizo aerial tankers wakati hua zinakaa mbali mamia ya kilomita?!

Kwani baada ya WW kuna Vita gani kubwa imetokea duniani ya kukaribia ukubwa wa WW?!

Israel ni wataalam wa kufanya SEAD OP na Iran inalijua hilo, wathubutu kuishambulia Israel uone jinsi pale Natanz patakagvyogeuzwa kifusi.
 
Wayahudi hawana haja ya kukingiwa kifua na mtu yeyote yule ndiyo maana wamerudi kwenye ardhi yao baada ya mamia ya miaka kuwa displaced duniani maana wana agano na Mungu wao na infact mwishowe soon watapata every single inch ya ardhi yao ambayo imechukuliwa na waarab hiyo ndo maana ya agano lao na Mungu wao. Kwa kifupi hatima ya wayahudi haitegemei watu inategemea Mungu wao ingekuwa inategemea watu wayahudi kwa jinsi mnavyowachukia wasingekuwa taifa kwa sasa ama huenda wangeshapungua sanaaaa duniani maana hata ahmed najad wa Iran alisema atalifuta taifa la israel kwenye uso wa dunia na ndo hata hamas wanavyosema lakin ndo kwanza Israel ipo na itaendelea kuwepo milele na milele!
Kasome The Balfour Declaration (1917) kwanza. Ukishamaliza njoo tujadili.
 
Timing ya Israel ni nzuri maana Irani ilikua inaelekea kuwa stronger zaid time is now or never af nashangaa humu watu kuingia jaziba angal ss wote watazamaji let's see kama italeta effects ni kwa the wote be neutral watch what is happening
 
Iran amejiweka Syria ili kuitumia ardhi ya nchi hiyo kuihujumu Israel ikiwa ni pamoja na kuwafadhili magaidi mbalimbali ili kuihujumu Israel.

Hivyo kitendo cha Israel kuishambulia jengo la ubalozi wa Iran nchini Syria ilikuwa ni halali na ni njia ya Israel kujihami dhidi ya hujuma hizo za Iran.

Sasa endapo Iran itajichanganya na kuishambulia Israel basi huenda ikawa mwanzo wa mgogoro mkubwa katika eneo la mashariki ya kati ambao unaweza kupelekea kung'olewa kwa utawala wa kiimla wa mahayatollah nchini Iran.
Marekani alishindwa hakuna mbwa yeyote anaeweza
 
Watu wengi wamesha anza kumuelewa Hitra kuwa alikuwa sahihi kuawateketeza hawa watu maana ni jamii iliyo jaa kiburi kilicho pitiliza.
Hitler,sio Hitra mkuu.
 
Ndege zingekua hazina kazi bhas Urusi angeacha kuzitumia pale ukraine angekua anarusha makombora tu mwanzo mwisho.

Unatoa kafara marubani je unajua route ambayo hizo ndege itatumia?! Je Air defense zako zinaweza fikia mahali zilipo hizo aerial tankers wakati hua zinakaa mbali mamia ya kilomita?!

Kwani baada ya WW kuna Vita gani kubwa imetokea duniani ya kukaribia ukubwa wa WW?!

Israel ni wataalam wa kufanya SEAD OP na Iran inalijua hilo, wathubutu kuishambulia Israel uone jinsi pale Natanz patakagvyogeuzwa kifusi.
Umbali kati ya Iran na Israel ni maelfu ya km wakati Urusi na Ukraine ni majirani.
Unasema hakuna vita kubwa ambayo ilisha tokea tangu vita ya dunia?

Kwa hiyo vita ya Uvietinam ilikuwa ni vita ndogo?
Na kama ni hivyo kwann Marekani alirazimika kuomba ardhi ya nchi nyingine kwa ajili ya ndege zake kwenye vita ya Iraq,na vita ya Afghanistan?
 
Significant activity at Iran long-range missile sites. Retaliation against Israel imminent​

02 APRIL 2024

Several intelligence sources are confirming "significant activity" at Iran long-range missile sites in the west and north of the country. Retaliation against Israel for bombing an Embassy in Damascus, is pending.

Yesterday, Israel violated the Vienna Convention on Diplomatic Relations when it bombed a building in Damascus, Syria, directly next to the Iran Embassy! It was the Ambassador's Official residence situated ON the Embassy compound; Iran sovereign territory!

Several high-ranking Iranian officials were killed in the attack, including Mohammad Reza Zahedi - a commander in the Quds Force of the Revolutionary Guards. He is the highest-ranking Iranian official killed in an Israeli attack.

If Iran plans retaliation, it's likely to occur tonight, as it marks the 23rd night of Ramadan, a significant occasion for Shia Muslims. Tonight, however, may prove too soon.

Should retaliation not occur tonight, it may coincide with a funeral, a common time for Iranian retaliation.

Expectations are high regarding Iran's response this time. Iran's Parliament Vice-Speaker Mojtaba Zonnouri cautioned Israel to anticipate retaliation within its borders, stressing that diplomatic missions are considered part of sovereign territory.

Iran's Supreme Leader, Khamenei, has signaled direct retaliation by Iranians themselves, bypassing proxies.

Khamenei said "Israel will face consequences for its attack on the Iranian consulate," adding "We will make them regret committing this crime."

In a letter to the Security Council late Monday, Iran said it would take a “decisive response” to the Israeli attack but in line with international laws. So Iran has already filed Notice to the UN there will be a military response.

The Israeli Defense Force, after making the attack, was placed on high alert.

The U.S. military has started recalling veteran retirees and is ordering them to report for active duty, citing Executive Order 13223 from the Bush administration in 2001.

This order allows for the recall of retired Soldiers to active duty from the Retired Reserve or the retired list under 10 USC 688/688a, 12301(a), or 12301(d).

The recall is part of an effort to address the military's manpower shortages and to fill critical vacancies. The recall process aligns with Army Regulation 601-10, which requires that recalled retiree Soldiers be assigned to valid vacant positions that match their grade and skill.

This initiative is a response to the military's ongoing recruitment crisis and the need to maintain a sufficient number of personnel to fulfill its global mission sets.

Clearly, a major conflict is about to start.

Iran has developed numerous and sophisticated missiles for its military use; more than capable of not only reaching any target inside Israel, but doing so with great precision. Below is a look at Iranian Missile systems and their ranges.

When some of these missiles start coming down onto Israel, it is likely to unleash things that no one expects.

According to a source within the US Embassy in Israel, a message was received at the White House from Iranian Foreign Minister Amir Abd Allahian.

In the message, Iran warns the US against interfering in Iran's response to Israel following the bombing of the Iranian Embassy compound in Syria.
Vita kuu ya Tatu ya Dunia inakwepekaje hapo?
 
Ndio maana nikwambia huo umbali sio kikwazo sababu kuna aerial tankers, ndege zinaweza kufungwa conformal fuel tanks kuongeza range ya ndege. Israel iliishaanza mchakato kuupgrade F-35 zake kuweza kufungwa hizo tanks kufika mbali zaidi.

Israel Continues Development Of New External Fuel Tanks For Its F-35I Adir Jets​

April 25, 2021

According to Walla, the Israeli Air Force Flight Testing Center (FTC) at Tel-Nof AFB is developing the external drop tanks that will help the Adir to complete long-range missions over “third circle” targets, such a hypothetical strike against Iranian objectives, without the need for aerial refueling, while also allowing an extended time on station (TOS) over the targets. The report mentions also significant progress in the integration of Israel-made missiles on the F-35I.

Before moving on, here is a brief explanation of the “third circle” from the Times of Israel: “The “third circle” refers to the three levels of direct threats facing Israel, the first being small terror groups on Israel’s borders, like Hamas; the second being larger threats, like the Syrian army and Hezbollah; and the third being countries that do not share a border with Israel, like Iran and Iraq.”

Israel Continues Development Of New External Fuel Tanks For Its F-35I Adir Jets
 
Umbali kati ya Iran na Israel ni maelfu ya km wakati Urusi na Ukraine ni majirani.
Unasema hakuna vita kubwa ambayo ilisha tokea tangu vita ya dunia?

Kwa hiyo vita ya Uvietinam ilikuwa ni vita ndogo?
Na kama ni hivyo kwann Marekani alirazimika kuomba ardhi ya nchi nyingine kwa ajili ya ndege zake kwenye vita ya Iraq,na vita ya Afghanistan?
Marekani ilikua ikitumia tankers kujaza mafuta Bombers zake kama B-2 na F-117, zilikua zinyanyuka US moja kwa moja inaenda Iraq kushusha mabomu then inarudi tena US.
 
BREAKING:

A massive explosion has taken place near the arms depot in Rask in Eastern Iran, which was captured by the Balochi separatists in Jaysh al-Adl a few hours ago.
 
Vita kuu ya Tatu ya Dunia inakwepekaje hapo?
This is how the third world war can start.Iran ikisha-retalliate,Israel will hard hit Iran.Baada ya hapo Marekani atawasaidia Israel,then Russia hawatakaa kimya,wataisaidia Iran.You know what Israel na US will do, wataishambulia Urusi,na China hawatakaa kimya,they will fight on the side of Russia.But don't forget that NATO countries are on the side of the US and Israel,so they will help them,so the chain reaction continues.It is a scenario which is terrifying frankly.Our only hope is that God will be on our side and it won't happen.However if you read Revelation 6:4 you get that picture.

Ufunuo 6:4
4 Akatoka farasi mwingine, mwekundu sana, na yeye aliyempanda alipewa kuiondoa amani katika nchi, ili watu wauane, naye akapewa upanga mkubwa.

Je,tayari Farasi mwekundu yupo kwenye assignment yake ya kuondoa amani duniani na kuwafanya wanadamu wauane?Tusubiri.

But people should remember that this is the scenario for which America has been cultivating since Satan created that evil nation,and it has been created for this very purpose!Kilichoko mbele yetu kinatisha sana franky.
 
Ngoja tuone kitakachotokea ni kipi!
Kama Iran itajibu mapigo au laa! Kama itajibu mapigo itajibu kwa namna gani! Ngoja tuone.
Yeah, halafu pia tuone mapigo yatajibiwaje upande wa pili.:CarlosPls:
 
This is how the third world war can start.Iran ikisha-retalliate,Israel will hard hit Iran.Baada ya hapo Marekani atawasaidia Israel,then Russia hawatakaa kimya,wataisaidia Iran.You know what Israel na US will do, wataishambulia Urusi,na China hawatakaa kimya,they will fight on the side of Russia.But don't forget that NATO countries are on the side of the US and Israel,so they will help them,so the chain reaction continues.It is a scenario which is terrifying frankly.Our only hope is that God will be on our side and it won't happen.But remember this is the scenario which America has been cultivating since Satan created that evil nation.Kilichoko mbele yetu kinatisha sana.
Tunaishi na vampires nakwambia.
Bloodthirsty clan from West
 
Significant activity at Iran long-range missile sites. Retaliation against Israel imminent​

02 APRIL 2024

Several intelligence sources are confirming "significant activity" at Iran long-range missile sites in the west and north of the country. Retaliation against Israel for bombing an Embassy in Damascus, is pending.

Yesterday, Israel violated the Vienna Convention on Diplomatic Relations when it bombed a building in Damascus, Syria, directly next to the Iran Embassy! It was the Ambassador's Official residence situated ON the Embassy compound; Iran sovereign territory!

Several high-ranking Iranian officials were killed in the attack, including Mohammad Reza Zahedi - a commander in the Quds Force of the Revolutionary Guards. He is the highest-ranking Iranian official killed in an Israeli attack.

If Iran plans retaliation, it's likely to occur tonight, as it marks the 23rd night of Ramadan, a significant occasion for Shia Muslims. Tonight, however, may prove too soon.

Should retaliation not occur tonight, it may coincide with a funeral, a common time for Iranian retaliation.

Expectations are high regarding Iran's response this time. Iran's Parliament Vice-Speaker Mojtaba Zonnouri cautioned Israel to anticipate retaliation within its borders, stressing that diplomatic missions are considered part of sovereign territory.

Iran's Supreme Leader, Khamenei, has signaled direct retaliation by Iranians themselves, bypassing proxies.

Khamenei said "Israel will face consequences for its attack on the Iranian consulate," adding "We will make them regret committing this crime."

In a letter to the Security Council late Monday, Iran said it would take a “decisive response” to the Israeli attack but in line with international laws. So Iran has already filed Notice to the UN there will be a military response.

The Israeli Defense Force, after making the attack, was placed on high alert.

The U.S. military has started recalling veteran retirees and is ordering them to report for active duty, citing Executive Order 13223 from the Bush administration in 2001.

This order allows for the recall of retired Soldiers to active duty from the Retired Reserve or the retired list under 10 USC 688/688a, 12301(a), or 12301(d).

The recall is part of an effort to address the military's manpower shortages and to fill critical vacancies. The recall process aligns with Army Regulation 601-10, which requires that recalled retiree Soldiers be assigned to valid vacant positions that match their grade and skill.

This initiative is a response to the military's ongoing recruitment crisis and the need to maintain a sufficient number of personnel to fulfill its global mission sets.

Clearly, a major conflict is about to start.

Iran has developed numerous and sophisticated missiles for its military use; more than capable of not only reaching any target inside Israel, but doing so with great precision. Below is a look at Iranian Missile systems and their ranges.

When some of these missiles start coming down onto Israel, it is likely to unleash things that no one expects.

According to a source within the US Embassy in Israel, a message was received at the White House from Iranian Foreign Minister Amir Abd Allahian.

In the message, Iran warns the US against interfering in Iran's response to Israel following the bombing of the Iranian Embassy compound in Syria.
Porojo tuu hamna lolote
 
Iran ikisha-retalliate,Israel will hard hit Iran.Baada ya hapo Marekani atawasaidia Israel,then Russia hawatakaa kimya,wataisaidia Iran.You know what Israel na US wataishambulia Urusi,na China hawatakaa kimya,they will fight on the side of China.Don't forget that NATO countries are on the side of the US and Israel so they will help them,so the chain reaction continues.It is a scenario which is terrifying.Our hope is that it won't happen.And remember this is the scenario which America has been cultivating since Satan created that nation.
Aaah! waapi.
1. Mrusi ameshanyong'onyeshwa na vita ya Ukraine. Kwa hiyo yuko choka mbaya hana hamu na kupanua wigo wa mapambano eti kumsaidia Mwarabu ambaye hakumsaidia wakati wa kupambana na Ukraine.
2. Hapo umesema ".....na China hawatakaa kimya,they will fight on the side of China. Au ulimaanisha Urusi? Kama ni Urusi ,China hatakuwa tayari directly, kwa sababu ana jambo lake na Taiwan.
3. Sio kweli kwamba Satan(Shetani/Ibilisi) ndiye aliyeiumba Marekani.
Hiyo chain inaleta kigagasi yan kila anayefikiri kujitumbukiza, akiangalia pembeni yake anaona akifanya hivo atakuwa amefungua mlango kwa adui aliye karibu zaidi.
Westerners wana more advantage over Arab countries in the sense that Arab countries sio waaminifu kwa kauli zao, ni vigeugeu na umoja wao sio imara kivile.
 
Back
Top Bottom