Mwangendage
Member
- Jan 11, 2012
- 69
- 2
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf

Swali zuri sana maana kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na michango yetu jinsi inavyotumika. kuna tetesi kuwa hakuna control nzuri ya utoaji wa pesa katika chama, nasikia eti anaangaliwa nani anataka bila kujali ni kipi kipaombele. Hatari sana

wala hatu hitaji pesa ya mafisadi, wewe subiri tuingie madarakani utanyea debe navua mna weeseka na M4C..na bado mpaka chupi mzivae kichwani, m4c speed ni ile ile
Ona wanaCDM matusi kibao hamna hata hoja ya ukweli kuulizwa swali kama hilo tu mnaanza kutukana hovyo. Je mkiingia madarakani si mtakuwa mnaua kabisa mkiulizwa maswali!!!wala hatu hitaji pesa ya mafisadi, wewe subiri tuingie madarakani utanyea debe navua mna weeseka na M4C..na bado mpaka chupi mzivae kichwani, m4c speed ni ile ile