sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,425
Habari zenu MMU!! I salute you all,
Natarajia kusafiri early May na huko ntakakokuwa nitakuwa naingia jf lwa nadra sana kwa kipindi cha miezi 2 hadi nirudi late July, 2013. Hivyo basi kwakuwa ntawamiss members wa humu naomba mnijazie autograph yangu nami ntaprint na ntakuwa nazisoma nikiwakumbuka. Sio lazima ila ntafurahi na ntashukuru kunijazia.
Si lazima kujaza yote mengine waweza acha wazi mengine waweza ongeza ambayo sikuweza. Thanks and mei mosi njema kwa wafanyakazi/waajiriwa.
FULL NAME:
NICK NAME:
LOVER:
FRIEND/S:
HOBBIES:
LIKE:
DISLIKE:
WISH/ES:
BEST FOOD:
BEST SHOES:
BEST WEAR/OUTFIT:
BEST ACTOR:
BEST ACTRESS:
BEST MOVIE:
BEST COLOR:
BEST EMPLOYER:
BEST HOTEL:
BEST DATE:
Nashukuru sana kwa kunijazia auto yangu. Pamoja sana.
Ever remaining, sakapal.
NB: kama hupendi acha wengine wanijazie pls.